Akagera national park ya rwanda inavyochukua wanyama wa poli la burigi, kimisi ,rumanyika na ibanda na kuwafungia kwenye fence-h kigwangala umelala
Akagera national park ni mbuga inayounganisha mapoli ya tanzania na rwanda , tanzania kuna mapoli mengi ambayo badala ya kuyapandisha hadhi tumeyaacha kama game resrve ambayo ni wa poli la burigi, kimisi ,rumanyika na ibanda. rwanda mbuga yao inayoungana na mapoli aya wameifanya national park .
Inalindwa na jeshi la rwanda. kutoka na vita wanyama wengi walikuwa upande wa tanzania miaka ya 80 mpaka 90, wilaya ya biharamulo wanyama walikuwa nakuja mpaka mjini suala la kuona simba, chui , swala , nyani na kifaru ilikuwa suala la kawaida na tembo . lakini kwa sasa wamepotea.
Na hii historia imeanza baada ya rwanda kupandisha ifadhi ya akagera na kuifanya nationa park.
1. wanatumia jina la akagera kuwaadaa watalii wanaodhani wakuja mkoa kagera na kiuhalisia mbuga hiyo inapakana na kagera kwani wanshare wanyama na mapoli ya kagera
2. mapoli ya kagera yalivamiwa na wanyarwanda kimkakati na kuanza kuchoma moto mapoli ya tanzania na kuwafukuza wanyama kuamia poli lao la akagera.
3 jeshi la jirani lilianza kuteka poli la burigi , na serikali kupeleka operation ya kusindikiza magari ili hali rwanda wana fukuza wanyama na kuwapeleka poli lao .
4. baada ya wanyama wa kila aina toka mapoli ya kagera kujaa poli la akagera wamezungusha fence ya moto wa umeme kuwazuia wasirudi na wanaoingia kwenye fence awarudi .
Ushauri wa bure ... tulishakosea zamani tusifufue makaburi ,nashauri ipandishwe hadhi poli la burigi na kuwa national park ili tudhibiti wanyama wetu ili kujua idadi ya wanyama na kuwatrack