Tetesi: Akagera National Park ya Rwanda inavyochukua wanyama wa pori ya Burigi na Kimisi na kuwafungia kwenye fensi

Hii ni ishu nzito!
Deep down analysis ianzie kwenye uhusiabo wa Uhamiaji na raia wa mipakani.
Ni vigumu sana kumtaka mtu awe mzalendo ili hali kila operation dhidi ya wahamiaji lazima imwachie maumivu.
 
Kwanini mnasumbuka na failed state? Hivi unajua siku huyo tolu akishindwa kufungua macho patawaka moto huko? Hayo wanyama wote watarudi Bongo.Nchi ambayo haina taasisi na inategemea mtu mmoja ni sawa na nyumba nzuri yenye msingi mbovu anyday itaanguka.
 
Uongo huo
 
Hiyo sahau mkuu
 
Hii inaweza kuwa ni mada nzito sana ya kuanzia mwaka na ambayo kama watu wanafuatilia (na I know they do) watu wetu wa inteligensia (TISS na wa Jeshi) watakuwa wanaunda task force kuelekea pande hizo kabla ya mwisho wa wiki..

Tatizo letu tunafikiri uzalendo ni kuunga mkono mambo yote yanayotendwa na serekali.Ukikosoa wewe si mzalendo ukiunga mkono hata jambo la hovyo wewe ni mzalendo.
 
Napendekeza Kigwangala awe mwenyekiti wa soko la samaki Ferry magogoni ndo panamfaa sana, wizara hiyo haiwezi hata robo anapwaya sana yani
 
sie mkulu wetu anawajengea Standadi geji kuendeleza uhusiano
 
hahahahahahaha na bado ,washaanza kukaribishwa hadi jikoni, in 20 years watakuwa washatawala Tanzania nzima kutokana na mahaba ya mtu mmoja kwa Paul kagame
 
Huwezi kumfilisi Bill Gates kwa kumuibia Tsh milioni mia. Tz ni tajiri wa rasilimali za wanyama na mbuga za wanyama. Hatuwezi kuathirika kwa udokozi wao wa swalla wawili, watatu.
Kwahiyo tuwaache waendelee 'kudokoa'?
 
Hii inaweza kuwa ni mada nzito sana ya kuanzia mwaka na ambayo kama watu wanafuatilia (na I know they do) watu wetu wa inteligensia (TISS na wa Jeshi) watakuwa wanaunda task force kuelekea pande hizo kabla ya mwisho wa wiki..
Hao watu wenu wa TISS na Jeshi walikuwa wanasubiria habari iletwe Jf ndio waunde task force ?
 
Mnyarwanda ni hatari sana kwa ujangili.Upatikanaji wa silaha ni rahisi kwao mno.Nina imani huko biharamulo serikali ikiamua kuweka amsha2 ya silaha hata vifaru watavikuta maana mtusi kafichama kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…