Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mnasumbuka na failed state? Hivi unajua siku huyo tolu akishindwa kufungua macho patawaka moto huko? Hayo wanyama wote watarudi Bongo.Nchi ambayo haina taasisi na inategemea mtu mmoja ni sawa na nyumba nzuri yenye msingi mbovu anyday itaanguka.Akagera national park ya Rwanda inavyochukua wanyama wa pori la Burigi, Kimisi ,Rumanyika na Ibanda na kuwafungia kwenye fence- H. Kigwangala umelala
Akagera national park ni mbuga inayounganisha mapori ya Tanzania na Rwanda , Tanzania kuna mapori mengi ambayo badala ya kuyapandisha hadhi tumeyaacha kama game resrve ambayo ni wa pori la Burigi, Kimisi, Rumanyika na Ibanda. Rwanda mbuga yao inayoungana na mapori haya wameifanya national park .
Inalindwa na jeshi la Rwanda, kutoka na vita wanyama wengi walikuwa upande wa Tanzania miaka ya 80 mpaka 90, wilaya ya Biharamulo wanyama walikuwa wanakuja mpaka mjini suala la kuona simba, chui, swala, nyani na kifaru ilikuwa suala la kawaida na tembo lakini kwa sasa wamepotea.
Na hii historia imeanza baada ya Rwanda kupandisha hifadhi ya Akagera na kuifanya nationa park.
1. Wanatumia jina la Akagera kuwahadaa watalii wanaodhani wanakuja mkoa wa Kagera na kiuhalisia mbuga hiyo inapakana na Kagera kwani wanashare wanyama na mapori ya Kagera
2. Mapori ya Kagera yalivamiwa na wanyarwanda kimkakati na kuanza kuchoma moto mapori ya Tanzania na kuwafukuza wanyama kuhamia pori lao la Akagera.
3. Jeshi la jirani lilianza kuteka pori la Burigi, na serikali kupeleka operation ya kusindikiza magari ili hali Rwanda wanafukuza wanyama na kuwapeleka pori lao .
4. Baada ya wanyama wa kila aina toka mapori ya Kagera kujaa pori la Akagera wamezungusha fence ya moto wa umeme kuwazuia wasirudi na wanaoingia kwenye fence hawarudi .
Ushauri wa bure: Tulishakosea zamani tusifufue makaburi, nashauri ipandishwe hadhi pori la burigi na kuwa national park ili tudhibiti wanyama wetu ili kujua idadi ya wanyama na kuwatrack
Uongo huoAkagera national park ya Rwanda inavyochukua wanyama wa pori la Burigi, Kimisi ,Rumanyika na Ibanda na kuwafungia kwenye fence- H. Kigwangala umelala
Akagera national park ni mbuga inayounganisha mapori ya Tanzania na Rwanda , Tanzania kuna mapori mengi ambayo badala ya kuyapandisha hadhi tumeyaacha kama game resrve ambayo ni wa pori la Burigi, Kimisi, Rumanyika na Ibanda. Rwanda mbuga yao inayoungana na mapori haya wameifanya national park .
Inalindwa na jeshi la Rwanda, kutoka na vita wanyama wengi walikuwa upande wa Tanzania miaka ya 80 mpaka 90, wilaya ya Biharamulo wanyama walikuwa wanakuja mpaka mjini suala la kuona simba, chui, swala, nyani na kifaru ilikuwa suala la kawaida na tembo lakini kwa sasa wamepotea.
Na hii historia imeanza baada ya Rwanda kupandisha hifadhi ya Akagera na kuifanya nationa park.
1. Wanatumia jina la Akagera kuwahadaa watalii wanaodhani wanakuja mkoa wa Kagera na kiuhalisia mbuga hiyo inapakana na Kagera kwani wanashare wanyama na mapori ya Kagera
2. Mapori ya Kagera yalivamiwa na wanyarwanda kimkakati na kuanza kuchoma moto mapori ya Tanzania na kuwafukuza wanyama kuhamia pori lao la Akagera.
3. Jeshi la jirani lilianza kuteka pori la Burigi, na serikali kupeleka operation ya kusindikiza magari ili hali Rwanda wanafukuza wanyama na kuwapeleka pori lao .
4. Baada ya wanyama wa kila aina toka mapori ya Kagera kujaa pori la Akagera wamezungusha fence ya moto wa umeme kuwazuia wasirudi na wanaoingia kwenye fence hawarudi .
Ushauri wa bure: Tulishakosea zamani tusifufue makaburi, nashauri ipandishwe hadhi pori la burigi na kuwa national park ili tudhibiti wanyama wetu ili kujua idadi ya wanyama na kuwatrack
Hiyo sahau mkuuKwanini mnasumbuka na failed state? Hivi unajua siku huyo tolu akishindwa kufungua macho patawaka moto huko? Hayo wanyama wote watarudi Bongo.Nchi ambayo haina taasisi na inategemea mtu mmoja ni sawa na nyumba nzuri yenye msingi mbovu anyday itaanguka.
Hii inaweza kuwa ni mada nzito sana ya kuanzia mwaka na ambayo kama watu wanafuatilia (na I know they do) watu wetu wa inteligensia (TISS na wa Jeshi) watakuwa wanaunda task force kuelekea pande hizo kabla ya mwisho wa wiki..
Yeye analaumu Rwanda kutoruhusu wanyama wasirudi hukuHoja ni ulinzi au kupandishwa hadhi?
Serengeti Ni national park lakini wanyama wanaenda Kenya kila siku.
Hakuna kitu kama hikoRwanda haka kanchi imekuaje awamu hii wanatusumbua sana hv?au ni kweli PK anazo taarifa chafu sana za magufuli anafanya kumblackmail?
Kwamba hoja yake waachwe wawe wanamove freely sio wakienda wanazuiwa. Hiyo ni hujumaYeye analaumu Rwanda kutoruhusu wanyama wasirudi huku
Fool CCMHuwezi kumfilisi Bill Gates kwa kumuibia Tsh milioni mia. Tz ni tajiri wa rasilimali za wanyama na mbuga za wanyama. Hatuwezi kuathirika kwa udokozi wao wa swalla wawili, watatu.
Kwahiyo tuwaache waendelee 'kudokoa'?Huwezi kumfilisi Bill Gates kwa kumuibia Tsh milioni mia. Tz ni tajiri wa rasilimali za wanyama na mbuga za wanyama. Hatuwezi kuathirika kwa udokozi wao wa swalla wawili, watatu.
Hao watu wenu wa TISS na Jeshi walikuwa wanasubiria habari iletwe Jf ndio waunde task force ?Hii inaweza kuwa ni mada nzito sana ya kuanzia mwaka na ambayo kama watu wanafuatilia (na I know they do) watu wetu wa inteligensia (TISS na wa Jeshi) watakuwa wanaunda task force kuelekea pande hizo kabla ya mwisho wa wiki..
sasa hivi bashite ndo boss wao na unajua yeye ana deal na mambo gani.Hao watu wenu wa TISS na Jeshi walikuwa wanasubiria habari iletwe Jf ndio waunde task force ?
Ni kweli kabisa. Je, na huko wanaZUIWA kurudi?Serengeti Ni national park lakini wanyama wanaenda Kenya kila siku.