Akagera="Ka mto"(mto mdogo) linatokana na neno "kugera" yaani kutiririka,naweza kukosolewa.Nirejee kwenye mada-Mimi ni mpenzi wa chaneli za Wanyama kwenye Kampuni kubwa ya huduma za ving'amuzi Afrika.Juma lililopita nikawa naangalia National Geographic(Wild) nikawa naiona hiyo Akagera ina Wanyama kama wa Serengeti (Copy and Paste) nikawa naangalia mazingira (Habitat?) waliyomo wale wanyama hayafanani kabisa na Africa Savannah,unaona kabisa wale wanyama wamepandikizwa!Kwenye Savannah za Africa ukifuatilia sana utaona mazingira mengi ya mbuga hizi ni ya brown kwa ajili ya kuficha wale wanyama wanaowinda wasionekane na ni tambarare.Akagera imekaa kama Gombe vile na ni greenish.Kwenye ile Documentary nilijua kabisa Rwanda kuna kitu anakitafuta (kukimbiza watalii kutoka TZ!) maana ana ndege nyingi za kutosha zinarandaranda hewaniHivi asili ya neno KAGERA ni mto au ni MAPORI?je kuna haja gani ya kuchochea.