Akamatwa akiiba mkate kanisani (Eucharist), hua inafanyiwa kazi gani hii mikate??

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
36,444
Reaction score
110,233
Wakuu kwema...

Labda wenye ujuzi wa mambo ningependa mnijuze hivi kwanini watu wanaiba hii mikate?? Mikate hii inaweza kupatikana madukani mtu ukanunua na kufanyia mambo yako hata kama ni kunywea chai. Lakini kwanini watu hawa hua wanasubiria mikate hii ikishafanyiwa mageuzo na kua Mwili na Damu ya Yesu Kristo.?? Wanaiba ya kazi gani??

Nauliza haya coz Leo kwenye misa ya sikukuu ya matawi nimejionea kituko. Baada ya mama mmoja kukamatwa akiwa kaichukua afu akaificha na kuondoka nayo.. hii leo ni mara ya 3 naona matukio ya namna hii.

Mwezi uliopita parokia hii hii kuna mtoto alikamatwa tena kaificha baada ya kupokea alipohojiwa akasema katumwa na mama yake from wilaya Xxx. Mbali kabisa kutoka hapa

So wanafanyia kazi gani??
 
Wanauza kwenye makanisa mengi e
 
Okay nitajaribu kukujibu!
Hii mikate pamoja na maji ya baraka vikishapewa barala vinakuwa ni deal sana kwenye mambo ya kiza hususani kwa wale ambao hupenda kuvuruga mipango ya wenzao ambao wanafanya kazi sawa za kiza!
Miaka ya 90 mwishoni nikiwa enzi hizo mtumikiaji, tulipata kesi yaani kuna chombo cha kuweka ekaristi takatifu walipita nacho. Aisee ulipigwa msako mkubwa hatari.
 
Mkuu kumbe ulishawahi kuwa mtumikizi yaani mkali wankuchezea chetezo.
 
Hao watakua wana mambo yao,.

Nakumbuka nikiwa kadogo sijui darasa la kwanza lile au lapili ( enzi hizo nlikua shirika la kipapa ) . Na rafiki zangu tulikua tunavizia watu wakienda kugonga kengele tunaingia sakrastia tunaibaa tunakula ile mikate ….. Tulivyofumwa tukachapwa tukaacha

By that time ilikua ni utoto tu na kutaka kujua ina taste aje maanaa tulikua haturuhusiwi kupokea kama hatujapata komunio ya kwanza
 
Happ mlikua mnakula mikate tu ila sio mwili na damu ya yesu christo. Ni mpaka mageuzi yafanyike ndio inakua a Holly Eucharist
 
Oooh
Kwani si huwa inabarikiwa mfano watu wakileta vipaji
Hapana inabarikiwa kwenye misa tu! Au ibada maalum eg Alhamis kuu. Zikiwa hazijabirikiwa zinakuwa ni cookies tu. Tofauti yake ni kua ni mikate isiyo na hamira
 
Back
Top Bottom