Wamepita na meza ya Bwana???!
Hata katekista mwenyewe hana mamlaka ya kwenda kumlishagonjwa aliye nyumbani. Ni padre tu mwenye kufanya hivo sembuse muumini wa kawaida. Kama una mgonjwa unasema padre anakuja kwako mwenyewe. But why uifiche?? Miaka ya nyuma walikua wanaiba hadi mchanga unaofagiwa kanisaniWamepita na meza ya Bwana
Hatari sana.
Anyway,
Labda aliiba ili akashiriki na wagonjwa nyumbani.
Ameona arahisishe zoeziHata katekista mwenyewe hana mamlaka ya kwenda kumlishagonjwa aliye nyumbani. Ni padre tu mwenye kufanya hivo sembuse muumini wa kawaida. Kama una mgonjwa unasema padre anakuja kwako mwenyewe. But why uifiche?? Miaka ya nyuma walikua wanaiba hadi mchanga unaofagiwa kanisani
Nauliza haya coz Leo kwenye misa ya sikukuu ya matawi nimejionea kituko. Baada ya mama mmoja kukamatwa akiwa kaichukua afu akaificha na kuondoka nayo
Mtoa mada kasema mama kaichukua mikate na kutoka nayo. Kwa hiyo siyo slice mojaYaani kanisan wanunue kamkate kamoja kutoka kwa mtu wa kawaida tu? Please elaborate
Inayo barikiwa Huwa inaachwa kwenye Tabenako haipelekwi sakrestiaOooh
Kwani si huwa inabarikiwa mfano watu wakileta vipaji
Hapo sawa,.Inayo barikiwa Huwa inaachwa kwenye Tabenako haipelekwi sakrestia
Hivi mnaendaga kanisani kufanya nini 🙄Wakuu kwema...
Labda wenye ujuzi wa mambo ningependa mnijuze hivi kwanini watu wanaiba hii mikate?? Mikate hii inaweza kupatikana madukani mtu ukanunua na kufanyia mambo yako hata kama ni kunywea chai. Lakini kwanini watu hawa hua wanasubiria mikate hii ikishafanyiwa mageuzo na kua Mwili na Damu ya Yesu Kristo.?? Wanaiba ya kazi gani??
Nauliza haya coz Leo kwenye misa ya sikukuu ya matawi nimejionea kituko. Baada ya mama mmoja kukamatwa akiwa kaichukua afu akaificha na kuondoka nayo.. hii leo ni mara ya 3 naona matukio ya namna hii.
Mwezi uliopita parokia hii hii kuna mtoto alikamatwa tena kaificha baada ya kupokea alipohojiwa akasema katumwa na mama yake from wilaya Xxx. Mbali kabisa kutoka hapa
So wanafanyia kazi gani??
MtumishiOkay nitajaribu kukujibu!
Hii mikate pamoja na maji ya baraka vikishapewa barala vinakuwa ni deal sana kwenye mambo ya kiza hususani kwa wale ambao hupenda kuvuruga mipango ya wenzao ambao wanafanya kazi sawa za kiza!
Miaka ya 90 mwishoni nikiwa enzi hizo mtumikiaji, tulipata kesi yaani kuna chombo cha kuweka ekaristi takatifu walipita nacho. Aisee ulipigwa msako mkubwa hatari.
Kabla ya kupokea huwa inatamanisha sana kujua ipoje na kuila.Hao watakua wana mambo yao,.
Nakumbuka nikiwa kadogo sijui darasa la kwanza lile au lapili ( enzi hizo nlikua shirika la kipapa ) . Na rafiki zangu tulikua tunavizia watu wakienda kugonga kengele tunaingia sakrastia tunaibaa tunakula ile mikate ….. Tulivyofumwa tukachapwa tukaacha
By that time ilikua ni utoto tu na kutaka kujua ina taste aje maanaa tulikua haturuhusiwi kupokea kama hatujapata komunio ya kwanza
Yeah,.Kabla ya kupokea huwa inatamanisha sana kujua ipoje na kuila.
Ni utoto tu japo pia kuna watu wengine wazima wa madhehebu mengine huwa wanajitokeza muda wa kupokea sijui lengo lao hasa n nn.Yeah,.
Halafu kumbe ni ya kawaida tu,.
Ila utoto….
Ladha yake ni ya kawaida i mean,.Unaposema ni ya kawaida unamaanisha nini??? Coz leo we're literally worship this