Akasema ......Nimepoteza mpenzi wangu

Akasema ......Nimepoteza mpenzi wangu

Salam sana wana cc wote,
Nimekumbuka wimbo wa ...pepe kale... R.I.P
unaoitwa ...Hidaya...... kuna mahali alisema...
Nimepoteza mupenzi wangu kule Tanzania .......
Nimepoteza mkanda wa kiuno.......

Hapa namtafuta Bishanga ..... sina maneno ya nyongeza.

Umenikumbusha mbaaaali sana ujue!

attachment.php
 
Salam sana wana cc wote,
Nimekumbuka wimbo wa ...pepe kale... R.I.P
unaoitwa ...Hidaya...... kuna mahali alisema...
Nimepoteza mupenzi wangu kule Tanzania .......
Nimepoteza mkanda wa kiuno.......

Hapa namtafuta Bishanga ..... sina maneno ya nyongeza.

mama vipi tena juzi tu uliachika leo amekurudisha dah kweli awali awali tu
 
Ma mie ndo namshangaa mkali kama uchungu wa kujifungua

Dogo kweli kaheshima unako. Umenijibu very cool. Tutayaweka sawa na mumeo kwangu atapitia mara moja moja sana muda mwingi atakuwa kwako. Wore no.
 
Back
Top Bottom