Hahaa
Ni maombi tu kwa Mungu kila kitu kinawezekana
Mwanaume tajiri ni wa kumvumilia tu.
oooh mama,inabidi aniimbie
usiku wakati ananibembeleza nilale mweeh!!
...huyo nae ana mengi!kama ni maombi mbona mama rwakatare aliachika?
Bishanga unamshika nyati aliyelala pembe? Utajuta...koma kabisa kumuulizia Lady doctor.
kwa taarifa yako Arushaone ndoa yangu imejengwa juu ya mwamba,haitikisiki.The secretary kamata mwizi
nyimbo zangu ni zaidi ya mdomoni na sauti
kwa taarifa yako Arushaone ndoa yangu imejengwa juu ya mwamba,haitikisiki.
Eti The secretary my sugar pie?
nyimbo zangu ni zaidi ya mdomoni na sauti
binadamu haishi kwa maneno tu.
mmeamkaje we na rutta? Mimba imeingia?
mmeamkaje we na rutta? Mimba imeingia?