Akasema ......Nimepoteza mpenzi wangu

Akasema ......Nimepoteza mpenzi wangu

Sabakheri la"aziz waonaje hali yako,
Awanusuru Mwenyezi hali yangu kama yako,
Shida yangu sijiwezi,
Dawa yangu sura yako,
Na mimi sijitambui,
Naridhia ombi lako,
Wengine wachokozi nakupenda peke yako,
Na mimi sijitambui nakupenda peke yako.
Source: shakira

hahahahaha umetishaa
 
Hilo la kusema yatanishinda ndo unanionea sana
si ushukuru sana tumekuachia hata Arushaone
wakati ulishakosa kabisa kabisa

hahahaaa...... Wakukosa nani? Hebu niangalie juu mpaka chini, sina kasoro yoyote, kama figa ninayo, rangi iliyotulia nywele za kimanga sina kovu wala doa...... Waume zenu kila kukicha wanagongana mlangoni kwa kunifuatilia, nina wachuna ki silencer ndio maana sina maskendo kama wewe...!
Nimemdatisha king mswati kwangu hafurukuti

UPO!!!!!????
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom