Akasema ......Nimepoteza mpenzi wangu

Akasema ......Nimepoteza mpenzi wangu

Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu peke yako..


Hata kama watasema mengi kiasi gani, kwako wewe nitaendelea kuwa mpole, maana nakupenda sana...


Siyo rahisi kuishi bila wewe, maana wewe maishani mwangu ni sawa na maji katika maisha ya binadamu. Mwaaaaa


Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu.

......

oooossshhfffff....... Hafadhali sasa nitapumua na Arushaone wangu,

haya kazi kwao akina The secretary Zahra White na Madame B bila kumsahau MRS B.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom