Inawezekana mimba zote mbili sio za kwake. Mwanamke wa nje akishajua mkeo hazai na wewe unataka sana motto ni rahisi kukubambikia. Vile vile mkewe naye anaweza kushauriwa na mashoga zake ajaribu nje. pamoja na kutaka sana mtoto vilevile he should not take things for grantedhuyo naye alikuwa na haraka mno miaka 4 tu anakata tamaa? asubiri wajifungue afu baadae awe wazi tu kwa mkewe nina rafiki yangu ameoa since 2005 hawajapata mtoto wanajipa moyo watapata tu