Akata tamaa baada ya kukosa kumpata mtoto

Akata tamaa baada ya kukosa kumpata mtoto

huyo naye alikuwa na haraka mno miaka 4 tu anakata tamaa? asubiri wajifungue afu baadae awe wazi tu kwa mkewe nina rafiki yangu ameoa since 2005 hawajapata mtoto wanajipa moyo watapata tu
Inawezekana mimba zote mbili sio za kwake. Mwanamke wa nje akishajua mkeo hazai na wewe unataka sana motto ni rahisi kukubambikia. Vile vile mkewe naye anaweza kushauriwa na mashoga zake ajaribu nje. pamoja na kutaka sana mtoto vilevile he should not take things for granted
 
What if mkewe angekata tamaa akaamua kuchepuka apate mimba...huyo jamaa angejisikiaje? Kwanini baadhi ya mijanaume mibinafsi hivyo????Anyway sina ushauri
Mkuu umeniwahi tumewaza hilo pamoja ujue siku zote waswahili wanasema kunya anye kuku.....angekuwa kafanya mwanamke hapo heheeee! Pangechimbika bila jembe!!
 
Kwa nchi zetu za kiafrika ni lazima, kwa wenzetu hasa nchi zilizoendelea baadhi ya wanandoa siku hizi wanaoana kwa makubaliano ya kutokuwa na watoto ili kutoharibu "life style" yao na bajeti pia maana kulea watoto ni gharama kubwa.

Hivi watu wakioana ni lazima wapate watoto?
 
Stress is when your wife is pregnant.
Tension is when your girlfriend is pregnant.
And Panic is when both are pregnant.
 
Hapo kila mtu kwa nafasi yake anajiona malkia kwa kumpatia mwanaume mtoto kumbe mazingaombwe
 
Madada wengi wanapokuwa wanafunzi wakipata Mimba huzitoa fasta bahati mbaya wengi hualibikiwa na vizazi mtihani pale wanapoolewa wanaficha ukweli siku zinapokuwa zinakatika mimba haionekani...
 
mungu kamuumba ye miaka minne tu kimada juuu!wenzie wanavumia mpaka ishirni
 
Mkuu umeniwahi tumewaza hilo pamoja ujue siku zote waswahili wanasema kunya anye kuku.....angekuwa kafanya mwanamke hapo heheeee! Pangechimbika bila jembe!!

Heeee ulimwengu mzima ungejua

Ukoo wote ungeambiwa mwanamke malaya kazaa nje......
 
Madada wengi wanapokuwa wanafunzi wakipata Mimba huzitoa fasta bahati mbaya wengi hualibikiwa na vizazi mtihani pale wanapoolewa wanaficha ukweli siku zinapokuwa zinakatika mimba haionekani...

Mimba wanajitia wenyewe?

Na 7kimsoma mtoa mada mke na mume wote walithibitishiwa na dr kuwa ni wazima....kilichomfanya mwanaume asikitulize ni nini?

Iko wapo kwa shidaa na raha? Au shida na raha inamhusu mwanamke tu??
 
asubirri ajifungue na awakee wote kila mmoja kwa muda wake, halafu mwambie siku nyingine aheshimu ndoa yake.
 
Asubiri wajifungue alafu akawapime DNA hao watoto... Huenda akakuta watoto wote pia pia sio wa kwake.. Labfa mke nae alichepuka.. Huwezi jua
 
Mimba wanajitia wenyewe?

Na 7kimsoma mtoa mada mke na mume wote walithibitishiwa na dr kuwa ni wazima....kilichomfanya mwanaume asikitulize ni nini?

Iko wapo kwa shidaa na raha? Au shida na raha inamhusu mwanamke tu??

Inaelekea kama unataka kuleta zogo vile....! mimi nimetoa maoni yangu kama nijuavyo... mambo ya kusema Mimba wanajipa wenyewe sijui yametokea wapi anzisha mada mpya tuwekane sawa...!
 
Inaelekea kama unataka kuleta zogo vile....! mimi nimetoa maoni yangu kama nijuavyo... mambo ya kusema Mimba wanajipa wenyewe sijui yametokea wapi anzisha mada mpya tuwekane sawa...!

Usipanick
Hii ni forum unachokiandika kinaweza kuwa challenged na yoyote yule
Take a chill pill
 
sa kachanganyikiwa nini????...c alikuwa anataka watoto???....na mimba ndo hizo asubir watotoe,,,,,tena dabo..
 
Inawezekana mimba zote mbili sio za kwake. Mwanamke wa nje akishajua mkeo hazai na wewe unataka sana motto ni rahisi kukubambikia. Vile vile mkewe naye anaweza kushauriwa na mashoga zake ajaribu nje. pamoja na kutaka sana mtoto vilevile he should not take things for granted

Mkuu ni hivi, jamaa na mkewe walikuwa wanakosea siku ya hatari (kupata ujauzito) lakini kwa jitihada za mkewe siku ya bleed alimpa mumewe tunda ndipo akashika mimba.
 
Wanaume wote wangekuwa kama wewe mie ningebaki single mother stress za nini?! Eti kirahisi tu umlete bila maswali thubutu!!!!! Ungekula ulikopeleka mboga

asa si nimesha mwambia ni mtoto wangu what else do you need to know ? mama wa huyo mtoto niliyemzalisha ama! wanawake sijui

kwanini tunakuwaga na roho mbaya ishatokea mtoto huyo hapo the point ni kufocus whats next to be done kuhusu ishu

muhimu za shule na mengineyo I learned this from my mother tulikuwa mimi ,dadangu na kakangu na mdogo wangu

dingi enzi hizo niko darasa la tatu dingi aliwaleta kaka zangu wengine watatu akamwambia maza sikia hawa ni watoto

wangu full stop , tumeishi nao vizuri wala hakukuwa na cha mama wa kambo wala nn na maisha yaliendelea tu

kwani kuishi na huyo mtoto malaika wa Mungu kutakugharimu gunia za mchele kwa siku !

the point isn't why it happened but whats next to be done
 
Back
Top Bottom