Inawezekana mimba zote mbili sio za kwake. Mwanamke wa nje akishajua mkeo hazai na wewe unataka sana motto ni rahisi kukubambikia. Vile vile mkewe naye anaweza kushauriwa na mashoga zake ajaribu nje. pamoja na kutaka sana mtoto vilevile he should not take things for grantedhuyo naye alikuwa na haraka mno miaka 4 tu anakata tamaa? asubiri wajifungue afu baadae awe wazi tu kwa mkewe nina rafiki yangu ameoa since 2005 hawajapata mtoto wanajipa moyo watapata tu
Mkuu umeniwahi tumewaza hilo pamoja ujue siku zote waswahili wanasema kunya anye kuku.....angekuwa kafanya mwanamke hapo heheeee! Pangechimbika bila jembe!!What if mkewe angekata tamaa akaamua kuchepuka apate mimba...huyo jamaa angejisikiaje? Kwanini baadhi ya mijanaume mibinafsi hivyo????Anyway sina ushauri
Hivi watu wakioana ni lazima wapate watoto?
Mkuu umeniwahi tumewaza hilo pamoja ujue siku zote waswahili wanasema kunya anye kuku.....angekuwa kafanya mwanamke hapo heheeee! Pangechimbika bila jembe!!
Madada wengi wanapokuwa wanafunzi wakipata Mimba huzitoa fasta bahati mbaya wengi hualibikiwa na vizazi mtihani pale wanapoolewa wanaficha ukweli siku zinapokuwa zinakatika mimba haionekani...
umwambie huyu ni mtoto wako full stop hakuna maswali
Mimba wanajitia wenyewe?
Na 7kimsoma mtoa mada mke na mume wote walithibitishiwa na dr kuwa ni wazima....kilichomfanya mwanaume asikitulize ni nini?
Iko wapo kwa shidaa na raha? Au shida na raha inamhusu mwanamke tu??
Inaelekea kama unataka kuleta zogo vile....! mimi nimetoa maoni yangu kama nijuavyo... mambo ya kusema Mimba wanajipa wenyewe sijui yametokea wapi anzisha mada mpya tuwekane sawa...!
Usipanick
Hii ni forum unachokiandika kinaweza kuwa challenged na yoyote yule
Take a chill pill
Inawezekana mimba zote mbili sio za kwake. Mwanamke wa nje akishajua mkeo hazai na wewe unataka sana motto ni rahisi kukubambikia. Vile vile mkewe naye anaweza kushauriwa na mashoga zake ajaribu nje. pamoja na kutaka sana mtoto vilevile he should not take things for granted
Wanaume wote wangekuwa kama wewe mie ningebaki single mother stress za nini?! Eti kirahisi tu umlete bila maswali thubutu!!!!! Ungekula ulikopeleka mboga
Unadhani ni rahisi kihivyo eeeh???