Mwanawalwa
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,014
- 300
Stress is when your wife is pregnant.
Tension is when your girlfriend is pregnant.
And Panic is when both are pregnant.
Kwa nchi zetu za kiafrika ni lazima.
Sio lazima....
ndiyo , kwa Afrika ni lazima.
watoto ni matunda ya ndoa
Mkuu binafsi naamini kuwa na watoto si jambo la ulazima isipokuwa ni baraka tu toka kwa Muumba...
Ndivyo inavyojulikana.....tena wanakuuliza vipi ndoa bado haijajibu.....
Mzima lakini jirani.....
Nimatumaini yangu kuwa mko wazima ndani ya jukwaa la MMU.
Ni furaha ya kila binadamu awe mwanamke au mwanaume kuwa na watoto lakini ikitokea kuwa upo kwenye ndoa kwa muda mrefu bila kufanikiwa kuwa na mtoto/watoto ndoa huwa chungu na haina amani wala furaha.
Ndugu zangu wana jukwaa la MMU, kuna rafiki yangu mmoja ameoa toka mwaka 2010 na hawakuweza kufanikiwa kumpata mtoto kwa zaidi ya miaka minne. Walipoenda kupima majibu yao ilionesha hawakuwa ma tatizo la aina yeyote. Hawakukata tamaa waliendelea kumtafuta mtoto lakini bado mkewe hakuweza kushika ujauzito. Hii hali ikapelekea jamaa kuvunjika moyo na kuamua kuwa na mahusiano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yake bila mkewe kujua.
Mwanamke yule mwenye mahusiano nae aliweza kupata ujauzito, ila cha kushangaza zaidi ni kwamba baada ya kumpatia mimba na mkewe nae akashika mimba, na kwa sasa wote wana ujauzito wa miezi 8. Jamaa amechamganyikiwa hajui afanyaje, amwambie ukweli mkewe au laa! naombeni ushauri wenu kwa niaba yake maana ameniomba nimshauri.
Mkuu naomba unifafanulie huo ulazima unatokea wapi? Yaani ni nini kiini cha huo ulazima...
bila kujua mungu alikupa mtihani alitaka apime imani yako je utaendelea kumuamini?yaan ww miaka mi4 unalalama umechelewa kupata mtoto?ss umekengeuka na mungu kakumaliza kakuonesha kuwa mkeo sio tasa anazaa sasa kubali kuvunja ndoa kwa upumbavu wako,jipe moyo ila umeharibu dira yako ya uaminifu kwa waifu wako kubali kuchapiwa na ww ,nimatumaini yangu kuwa mko wazima ndani ya jukwaa. Ni furaha ya kila binadamu awe mwanamke au mwanaume kuwa na watoto lakini ikitokea kuwa upo kwenye ndoa kwa muda mrefu bila kufanikiwa kuwa na mtoto/watoto ndoa huwa chungu na haina amani wala furaha.
Ndugu zangu wana jukwaa, kuna rafiki yangu mmoja ameoa toka mwaka 2010 na hawakuweza kufanikiwa kumpata mtoto kwa zaidi ya miaka minne.
Walipoenda kupima majibu yao ilionesha hawakuwa ma tatizo la aina yeyote. Hawakukata tamaa waliendelea kumtafuta mtoto lakini bado mkewe hakuweza kushika ujauzito. Hii hali ikapelekea jamaa kuvunjika moyo na kuamua kuwa na mahusiano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yake bila mkewe kujua.
Mwanamke yule mwenye mahusiano nae aliweza kupata ujauzito, ila cha kushangaza zaidi ni kwamba baada ya kumpatia mimba na mkewe nae akashika mimba, na kwa sasa wote wana ujauzito wa miezi 8.
Jamaa amechamganyikiwa hajui afanyaje, amwambie ukweli mkewe au laa! Naombeni ushauri wenu kwa niaba yake maana ameniomba nimshauri.
Pesa sio tatizo kwamba eti atakula gunia Mia hapana Sema nahitaji maelezo ya kina afu mambo hayo pia yanahitaji hekima ya mwanamke sio kila mtu anaweza kuishi na mtoto Wa nje!asa si nimesha mwambia ni mtoto wangu what else do you need to know ? mama wa huyo mtoto niliyemzalisha ama! wanawake sijui kwanini tunakuwaga na roho mbaya ishatokea mtoto huyo hapo the point ni kufocus whats next to be done kuhusu ishu muhimu za shule na mengineyo I learned this from my mother tulikuwa mimi ,dadangu na kakangu na mdogo wangu dingi enzi hizo niko darasa la tatu dingi aliwaleta kaka zangu wengine watatu akamwambia maza sikia hawa ni watoto wangu full stop , tumeishi nao vizuri wala hakukuwa na cha mama wa kambo wala nn na maisha yaliendelea tu kwani kuishi na huyo mtoto malaika wa Mungu kutakugharimu gunia za mchele kwa siku !the point isn't why it happened but whats next to be done
Nakubaliana nawe Mkuu, lakini kwa ndoa zetu za kiafrika inapotokea mke na mume hawakupata baraka hizo za Muumba wetu kupata watoto, basi wazazi, ndugu, jamaa na marafiki huanza minong'ono ya pembeni ambayo baadaye inakuwa si minong'ono tena na kuweza kuwaathiri wanandoa hata kuharibu ndoa yao.
huyo naye alikuwa na haraka mno miaka 4 tu anakata tamaa? asubiri wajifungue afu baadae awe wazi tu kwa mkewe nina rafiki yangu ameoa since 2005 hawajapata mtoto wanajipa moyo watapata tu