Akatwa kichwa kwa kushiriki mapenzi ya jinsi moja

Wewe baba ako mbona anainamishwa na bado kakuzaa funza
Sisi kwa dini yetu huo uchafu tunaukemea na ikibidi hao mabaradhuli tunawaua kabisa hili wasije wakaleta kizazi Cha kishetani, nyinyi dini yenu mnasema aliye msafi awe wa Kwanza kumpiga mawe, ndiomaana nikasema baba yako angekuwa anamegwa we ungezaliwa? Huna adabu
 
Kinyeo chake wewe unapatwa na hasira hadi kuua huu siukosefu wa akili.

Sipendi mashoga wala kufurahia vitendo vyao ila kuwauwa mashoga sio kitusahihi..mana bina damu wote tu wadhambi hakuna mkamilifu huyo aliye muua ukiye na yeye ni mwizi au mbakaji.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa hata majambazi sijui kwanini wanafungwa jela na wakati sote sisi si wakamilifu, kuna wale wezi wanakupiga kisu au panga unadondoka wanakuibia sijui kwanini wakikamatwa wanpigwa hadi kifo na wakati sisi si wakamilifu, kuna hawa watu wanalawiti watoto wadogo msiwe mnawafunga jela waacheni japo hatuwapendi maana wote sisi tuna dhambi na si wakamilifu.

Kuna wanaotembea na wake za watu mkiwakamata msiwauwe ila maana sote tuna makosa yetu na hatujakamilika.
 
Ndio yesu alivyowahusia hivyo? Hizi dini jamani! haya firranane haki yenu
 
Kweli kabisa hata majambazi sijui kwanini wanafungwa jela na wakati sote sisi si wakamilifu, kuna wale wezi wanakupiga kisu au panga unadondoka wanakuibia sijui kwanini wakikamatwa wanpigwa hadi kifo na wakati sisi si wakamilifu, kuna hawa watu wanalawiti watoto wadogo msiwe mnawafunga jela waacheni japo hatuwapendi maana wote sisi tuna dhambi na si wakamilifu.

Kuna wanaotembea na wake za watu mkiwakamata msiwauwe ila maana sote tuna makosa yetu na hatujakamilika.
Labda Kuna mistari kwenye vitabu vyao vya dini vinaruhusu hayo
 
Shida sio kufanya.
Ila Kuna umuhimu gani wa kujitangaza kuwa unafirwa?
fanya kwa faragha yako kwanini unataka ujitangaze kwa faida ya nani?
Wauaji wakamatwe na kupewa adhabu kali,

Kila Binaadam ana Haki ya kuishi, kivipi mwengine akatishe Maisha ya mwenzie kisa tu akifanyacho yeye hakitaki, huo ni ukosefu wa akili na ustaarabu.
 
Kuua wanakosea kwa sababu hakuna ambae hakosei hata iweje watu watakosea tu, waache mambo ya ajabu kujifanya watakatifu na hii Dunia ilivyo hakuna mtu anaweza kusimama akasema yeye ni mkamilifu hana dhambi, For How?
 
Sisi kwa dini yetu huo uchafu tunaukemea na ikibidi hao mabaradhuli tunawaua kabisa hili wasije wakaleta kizazi Cha kishetani, nyinyi dini yenu mnasema aliye msafi awe wa Kwanza kumpiga mawe, ndiomaana nikasema baba yako angekuwa anamegwa we ungezaliwa? Huna adabu
Mambo ya ushoga hayausiani na dini.hayo ni mambo ya mtu binafsi.naona wewe unataka kujifanya una dini safi wakati shida ni zile zile kila mahali.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wauaji wakamatwe na kupewa adhabu kali,

Kila Binaadam ana Haki ya kuishi, kivipi mwengine akatishe Maisha ya mwenzie kisa tu akifanyacho yeye hakitaki, huo ni ukosefu wa akili na ustaarabu.
Na wewe ni msagaji au unsagwa? Kwa nini utetee uchafu huu?
 
Shida sio kufanya.
Ila Kuna umuhimu gani wa kujitangaza kuwa unafirwa?
fanya kwa faragha yako kwanini unataka ujitangaze kwa faida ya nani?
Kama kwake yeye kujitangaza ni faida je?

Ni kukosa akili na kukosa ustaarabu ndio maana mnashindwa kushughulika na maisha yenu kutwa kunusa nusa makalio ya watu kujua nani anafanya nini na nani kwa muda gani
 
Kweli kabisa hata majambazi sijui kwanini wanafungwa jela na wakati sote sisi si wakamilifu, kuna wale wezi wanakupiga kisu au panga unadondoka wanakuibia sijui kwanini wakikamatwa wanpigwa hadi kifo na wakati sisi si wakamilifu, kuna hawa watu wanalawiti watoto wadogo msiwe mnawafunga jela waacheni japo hatuwapendi maana wote sisi tuna dhambi na si wakamilifu.

Kuna wanaotembea na wake za watu mkiwakamata msiwauwe ila maana sote tuna makosa yetu na hatujakamilika.
Basi na wewe unaona umetoa point ya maana kabisa,
Tukiwaambia Akili mmebakiza za kupigia punyeto tu mnakasirika,

Shoga anaua?? Shoga ana madhara yapi kwenye jamii yake? Yan Mtaa ukiwa na Shoga nyie mnakua hamdindishi kwa wake zenu??

Haya huyo Shoga anajifanya mwenyewe?? Si ndio nyie mnaowaharibu watoto halafu baadae mnajifanya kuchukizwa,

Hovyoooooooo
 
Back
Top Bottom