witzone2
JF-Expert Member
- Jan 14, 2022
- 797
- 1,739
Dini yako imeweka mipaka kumbe mnaruhusiwa kujua aisee. Hapa ndo kuna tatizo la dini yenu. Hivi siku ya mwisho Allah wenu atakuja kuhukumu Nini Sasa kama watenda dhambi mnawaua? Na nyie wenyewe ni wadhambi kila siku. Ni wezi. Wazinzi. Walevi wauaji.Haya maswali yako ndo yanakupa uhalali wa wewe kuwa namtandao wa ushoga na kusawishi wengine kuingia humo!?
Dini yangu imeweka wazi kabisa Ni mazingira gani mtu akichupa mipaka yafaa kuuliwa, lakini pia Ni ustaarabu endapo itakuwa ni njia yakuondoa kibaya chenye kuleta madhara kwa vizazi..
Mfano wa madhara Ni haya tunayoyaona kwako, msipoondolewa mapema unafikir dunia ikiwa na watu wa mfano wako itakuwaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hili swala la ushoga ni uzinzi nao. Na vitabu vyote vya dini vimekataza uzinzi. Lakn vile vile vimekataza kuua.
Sasa ebu tusaidie hapa ni makosa Gani nikifanya napaswa kuuawa. Na yapi sipaswi kuuawa.
Na Bahat mbaya tunaishi kwenye jamii ambayo ushoga umekua ndo kosa kubwa kuliko hata kutoa roho ya mtu. Na baadhi ya dhambi hazionekani kama Tena ni dhambi. Mfano Kuna waislamu wengi sana ni
wazinzi
Walevi
Waongo.
Wala kitimoto
Mashehe wanafika watoto
Ni wauji
Ni wanafiki
Waangalia matendo ya nje
Hawa wote unashangaa wanamnyoshea kidole shoka huku hizo zote hapo juu wanazifanya
Yaani unapata shida sana kuwalewa Hawa jamaa
NB. Sitetei ushoga Bali nachukia dhambi zote. Na siwezi hukumu mtu make siku ya mwisho hakimu wetu ni mmoja.