Wakala wewe kwenye haya mambo,
Sikiliza wewe kiumbe binadam lazima tuishi kwenye misingi yenye ustaarabu na lazima tuonyeshe ustaarabu kwa viumbe wengine!
Sijawahi ona mnyama(hayawani) akiwa anafanya hili Jambo vipi kuhusu binadam mwenye utashi na akili afanye hivo??,
Tabia mbovu inashida moja ikishahamia kwako nisharti uhamishie kwa mwingine kwann!??
Binadam tuliowengi tunahulka moja hivi huwa tunapenda tukipatwa na baya basi tunaona vizuri lisiishie kwetu liende kwa mtu mwingine pia nae apatwe nalo.
Mazuri tunayawekea fensi yawe yakwetu tu.
Wewe endelea kushikia bendera hili ila ipo siku litakukuta, we unajua anaetetea hili ana dhima gan?? Au kwakuwa na ujinga wako umejikuta ukiwa huko ndo unaona sawa kwa kila mtu?
Sent using
Jamii Forums mobile app