Akatwa kichwa kwa kushiriki mapenzi ya jinsi moja

Dini yako imeweka mipaka kumbe mnaruhusiwa kujua aisee. Hapa ndo kuna tatizo la dini yenu. Hivi siku ya mwisho Allah wenu atakuja kuhukumu Nini Sasa kama watenda dhambi mnawaua? Na nyie wenyewe ni wadhambi kila siku. Ni wezi. Wazinzi. Walevi wauaji.

Na hili swala la ushoga ni uzinzi nao. Na vitabu vyote vya dini vimekataza uzinzi. Lakn vile vile vimekataza kuua.

Sasa ebu tusaidie hapa ni makosa Gani nikifanya napaswa kuuawa. Na yapi sipaswi kuuawa.

Na Bahat mbaya tunaishi kwenye jamii ambayo ushoga umekua ndo kosa kubwa kuliko hata kutoa roho ya mtu. Na baadhi ya dhambi hazionekani kama Tena ni dhambi. Mfano Kuna waislamu wengi sana ni
wazinzi
Walevi
Waongo.
Wala kitimoto
Mashehe wanafika watoto
Ni wauji
Ni wanafiki
Waangalia matendo ya nje

Hawa wote unashangaa wanamnyoshea kidole shoka huku hizo zote hapo juu wanazifanya

Yaani unapata shida sana kuwalewa Hawa jamaa

NB. Sitetei ushoga Bali nachukia dhambi zote. Na siwezi hukumu mtu make siku ya mwisho hakimu wetu ni mmoja.
 
Wauaji wakamatwe na kupewa adhabu kali,

Kila Binaadam ana Haki ya kuishi, kivipi mwengine akatishe Maisha ya mwenzie kisa tu akifanyacho yeye hakitaki, huo ni ukosefu wa akili na ustaarabu.
Wewe binafsi unakiunga mkono hicho kitendo kilichopelekea jamaa akakatwa kichwa au hukiungi mkono?
 
Hongera sana kwa kujitambua, ngozi nyeusi ni viumbe wa ajabu sana, unafki ndio tumeuweka mbele,

Huyo anayejifanya kushupaza mishipa ya shingo hapa unamkuta ana chale hadi makwapani, hakauki kuvunja nazi njia panda, unamkuta ni tapeli na mzinzi hadi kwa watoto wadogo, ananyanyasa mayatima na wajane, sipati kukwambia huko kutoa mimba.....

Lakini likija suala la ushoga yeye anakua mtakatifu wa watakatifu, tena yuko radhi amuingilie mwanamke wake kinyume na maumbile atakwambia ni fantasy,

Aibuuu! Nitaendelea kuwazodoa hadi waache unafki ili waende mbinguni kwa amani.
 
Waisrael wa bonyokwa hawajui waseme waislamu ni katili au wasifie shoga kuuliwa. Basi wanaaamua kupita kimya kimya
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kuua wanakosea kwa sababu hakuna ambae hakosei hata iweje watu watakosea tu, waache mambo ya ajabu kujifanya watakatifu na hii Dunia ilivyo hakuna mtu anaweza kusimama akasema yeye ni mkamilifu hana dhambi, For How?
Kweli kabisa hata majambazi sijui kwanini wanafungwa jela na wakati sote sisi si wakamilifu, kuna wale wezi wanakupiga kisu au panga unadondoka wanakuibia sijui kwanini wakikamatwa wanpigwa hadi kifo na wakati sisi si wakamilifu, kuna hawa watu wanalawiti watoto wadogo msiwe mnawafunga jela waacheni japo hatuwapendi maana wote sisi tuna dhambi na si wakamilifu.

Kuna wanaotembea na wake za watu mkiwakamata msiwauwe ila maana sote tuna makosa yetu na hatujakamilika

grand millenial

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa limezungumzwa moja kuhusu suala la ushoga, ukitaka tuchangie kuhusu hayo mengine fungua uzi na tutayakemea kama tunavolikemea hili!!

Suala muislam kufanya makosa mengine kama uliyoyataja hapo Hilo ni tatizo la mtu na sio la dini yake.

Nimfano tu wahili ukute huyu Dream Queen ambaye Yuko nahizi tabia amelelewa vizuri nawazazi wake ila kwenye suala la kama yy akaibuka na hizi tabia hapa hutuwez kulaum wazazi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa limezungumzwa moja kuhusu suala la ushoga, ukitaka tuchangie kuhusu hayo mengine fungua uzi na tutayakemea kama tunavolikemea hili!!

Suala la mtu mwenye dini flani kufanya makosa mengine kama uliyoyataja hapo Hilo ni tatizo la mtu na sio la dini yake.

Nimfano tu wahili niwewe Dream Queen ambaye huenda wazazi wako wamekulea vzur na kukupa maadili mazuri lakin akaibuka na hizi tabia hapa hutuwez kulaum wazazi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwenye haki ya kutoa uhai wa mtu

Wangemuacha Mungu amhukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…