Akatwa uume akiwa gesti Arusha

Akatwa uume akiwa gesti Arusha

Nilikutana na mmoja Apo chuga,anakuja analeta pigo za kihuni,anataka nikamtembezee,uku ananipulizia Moshi wa bangi,nikaona dharau kubwa ,kanichukuliaje,Kama kapinda Mimi nimenyongorota,nikaona uyu leo hatonisahau,nimvute sehemu hakuna wenzake au watu,nikamwambia sawa twende nikamle,nikampeleka chocho moja Kama unaenda Babylon,nikambananisha kwa nguvu kwenye Kona,Ile bangi nikamzimishia utosini kwake,mikono nikaibana asiweze vuta zana zake kama wembe,nilimtandika haswa,mpaka nikahisi nitamuua,nikakafunga mdomo,na miguu,nikasepa
Ulimtandika nini?
 
Duu, hapo hata akipona atafute tuu wa kutekenya atoe maziwa akisubiri kwenda pluto.
 
Ajali Mbaya Sana Hii Ya Kojolea Ndani (Kuloweka)
 
ARUSHA: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Silayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Kata ya Sakina jijini Arusha, amekatwa uume wake kwa kisu na mwanamke anayedaiwa ametambulika kwa jina moja la Regina, wakati akiwa Gesti Jijini hapa baada ya kuzuka ugomvi baina yake na mwanamke huyo usiku wa manane, kiasi cha uume huo kushonwa nyuzi nane.

Diwani wa kata ya Sakina, ndugu Elvicent Wilson akizungumza na GADI TV kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio. CHANZO: GADI TV
😅😅😅😅Et makalio tunacheka kama mazuri Mungu amponye uyo jamaa
 
Kati ya Malaya wakorofi WA Arusha ni balaa ,atakuwa alichukua Malaya WA kaloleni uyo,sema mademu WA kaskazini ni balaa sana
 
ARUSHA: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Silayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Kata ya Sakina jijini Arusha, amekatwa uume wake kwa kisu na mwanamke anayedaiwa ametambulika kwa jina moja la Regina, wakati akiwa Gesti Jijini hapa baada ya kuzuka ugomvi baina yake na mwanamke huyo usiku wa manane, kiasi cha uume huo kushonwa nyuzi nane.

Diwani wa kata ya Sakina, ndugu Elvicent Wilson akizungumza na GADI TV kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio. CHANZO: GADI TV
Atakuwa Regina Kistuli wa Mianzini huyo...Muuza utamu Regina
 
Siku zote Malaya mzuri ni yule anayekufuata na sio kumfuata, halafu Silayo atakuwa amechukua Malaya wachafu wa XO Lounge, wahuni wahuni akina Regie na Hellen wavuta bangi
 
Back
Top Bottom