Akatwa uume akiwa gesti Arusha

Akatwa uume akiwa gesti Arusha

Yote hayo chanzo utapeli, watu mnakubaliana malipo vizur ila baada ya utamu unaanza kuleta ujuaji. Sasa siyo wote wa kuchezea
 
Aa
Yote hayo chanzo utapeli, watu mnakubaliana malipo vizur ila baada ya utamu unaanza kuleta ujuaji. Sasa siyo wote wa kuchezea
Aaaaaaa Sana tu.hiyo ndo dawa.yaani umshughulishe mtu kihasara
 
Makahaba wa Arusha ni washenzi mno. Halafu wako rafu rafu sana.. wanavuta sigara hadharani na bangi. Kimsingi ukichukua kahaba Arusha mlipe chake piga bao lako moja kisha ondoka msijuane. Hawana utu. Uzuri wa makahaba wa Chuga ni wagumu mno kutotumia kinga.. ni watumiaji wazuri wa kinga na wanajali sana afya zao kwa upande wa HIV na magonjwa mengine yatokanayo na ngono.
Ukiwalipa fresh hawana noma
 
ARUSHA: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Silayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Kata ya Sakina jijini Arusha, amekatwa uume wake kwa kisu na mwanamke anayedaiwa ametambulika kwa jina moja la Regina, wakati akiwa Gesti Jijini hapa baada ya kuzuka ugomvi baina yake na mwanamke huyo usiku wa manane, kiasi cha uume huo kushonwa nyuzi nane.

Diwani wa kata ya Sakina, ndugu Elvicent Wilson akizungumza na GADI TV kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio. CHANZO: GADI TV

Ashukuru mungu kama nyuzi zimekubali na mashine itarudi kwenye ubora wake maana iyo ndo ilikuwa hatari!!!
 
Ehe sababu ya kumkata uume mwanaume ni nini?

Ova
 
Hapo lazima kulikuwa na visa tu, yani mwanamke aende kulala na bwana ake guest huku kabeba kisu...!
 
Back
Top Bottom