Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

Status
Not open for further replies.
Mi ndo natoka kucomment kwenye page yake hapa
 
POINT [emoji122] [emoji122]
 
Hii kitu sio kweli na sio kweli huyu mtu aliofanya hii ana akili timamu tena ya kutosha na ana kipindi kilefu hajanywa pombe, hiyo picha iangalie kwa makini huyo mtu aliofanya hivi huenda yuko hapa hapa bongo, lkn kuhusu mage, sio kweli
 
Povuuu
 
 
Hahaaaaaaa ana kawaida ya kuwananga wenzake wakiwa hacked anapenda kusema wanajifanyisha zamu yake Sasa.
leo ndio ataamini kwamba kaka na dada hacker wapo! Alimnangaga lina eti ameuza account yake halafu anadanganya hacker....
hapa juzi juzi tu katoa somo la kujikinga na hackers, sasa sijui yamemkuta yapi
 
leo ndio ataamini kwamba kaka na dada hacker wapo! Alimnangaga lina eti ameuza account yake halafu anadanganya hacker....
hapa juzi juzi tu katoa somo la kujikinga na hackers, sasa sijui yamemkuta yapi
Mganga hajigangi, afu alitukana mamba kabla hajavuka mto. Natumai sasa kajifunza.
 
acha uongo, soma post yake ya dka 10 zimeisha inahusu zanzibar. usikute unataka tu pay attention tujibu ili tuonekane kuwa sisi ndio huwa tunamfuatilia kwa kusoma post zake unactuchora eheheh utajiju
 
Mmmh mange angekua amehackiwa iyo picha mbona ni recent kabisa af anasema amehackiwa , mi siamini
 
kama hana tabia ya kufuta Dm hapo sasa wote walotoa siri za kambi wamejulikana kazi wanayo!!..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…