Hahahaha.... Acha tu mkuu. Naona hata mwenyewe haamini imekuaje maana aliwahi kusema kwamba account yake ameiwekea ulinzi wa kutosha na kwamba ni unhackabe[emoji38]n
amesharudi hewani....mmmh watu wasiojulikana ni hatari
What!!??
najua ili povu ulilolitoa anagekua kafanya same thing yule mtoto wa kariakoo lingegeuka Mchuzi.
yani haters bana hahahhhaha
Mange ndio naniMambo vipi wapendwa. Napenda kuwapa tetesi zinazoabza kusambaa mtaani kuwa mange hajulikani alipo na account yake ya insta imedukuliwa na "watu wasiojulikana" hii ni baada ya kuanza kupost matusi na kuandika makorokocho kama mtoto anaeanza darasa la kwanza. Kuna video hapa inagoma ngojeni niiconvertSnitch
Povuuu
povuuuuAkili yako ndo ilipoishia mnaishia kusifia hata picha wenzenu wanakuwaga na akiba ya maneno Ay aliitwa wa kimataifa yuko wap?
Mange anawanyima usingizi akina Lemutuz na Bashte baada ya kutoa siri za maovu yao
Naona mnaanza kuandaa mazingiraKwa asiyemfahamu Mange atahisi ni serikali lkn kwa anaye mfahamu vzr atajua kuwa ana maadui wengi sana tofauti na serikali
Acheni watu waongee!Muda mwafaka kwa serikali kufuatilia mawasiliano ya Dada mange ili wavujisha taarifa nyeti washushiwe tsunami!
Watu wako busy na Kim Jon UnHvi huko marekani hakuna wanaume wa kum keep busy mange
khaah l!! we nawe hebu muache mtoa mada bhana.....mange ilihakiwa (kwa mujibu wake) yalipostiwa matusi na vitu visivyoeleweka, amefuta baada ya kuamka.acha uongo, soma post yake ya dka 10 zimeisha inahusu zanzibar. usikute unataka tu pay attention tujibu ili tuonekane kuwa sisi ndio huwa tunamfuatilia kwa kusoma post zake unactuchora eheheh utajiju
yaani zile post mpaka nilikuwa naona aibu kuzisoma.Aiseee. Kachafua hali ya hewa!
watu sio wazuri mkuuHahahaha.... Acha tu mkuu. Naona hata mwenyewe haamini imekuaje maana aliwahi kusema kwamba account yake ameiwekea ulinzi wa kutosha na kwamba ni unhackabe[emoji38]