Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

Status
Not open for further replies.
n

amesharudi hewani....mmmh watu wasiojulikana ni hatari
Hahahaha.... Acha tu mkuu. Naona hata mwenyewe haamini imekuaje maana aliwahi kusema kwamba account yake ameiwekea ulinzi wa kutosha na kwamba ni unhackabe[emoji38]
 
a94ef0e1ed8e8127528ec7fb4ae80044.jpg

Swali jee mange amedukuliwa kweli au ni usanii?
Kama amedukuliwa asingereact kisimple hivyo naona anaendelea kupost mengine
Kapost yeye mwenyewe itakua
Zile picha za kulewa wamezipata wapi kama sio yeye mwenyewe?
 
Muda mwafaka kwa serikali kufuatilia mawasiliano ya Dada mange ili wavujisha taarifa nyeti washushiwe tsunami!
 
Ahsante kwa taarifa.

Kama wana nia ya kumkomesha, bora wamkamate kuliko nakuhangaika A/c.
 
najua ili povu ulilolitoa anagekua kafanya same thing yule mtoto wa kariakoo lingegeuka Mchuzi.
yani haters bana hahahhhaha

Mimi sina timu wewe shabiki wa kutupwa wa jay z huwez kuja kwangu ukakuta bongo fleva za nn? tunawapa fact mtafute D banj alikuwa chini ya kany west yuko wap? P squer walifanya nyimbo la rick ross huko Usa walitoboa? Mnahadaika na vi picha sean kingston alimwambia Ay mkitaka kutoboa Usa tafuteni asili yenu ya music kuonesha utofaut
 
Mambo vipi wapendwa. Napenda kuwapa tetesi zinazoabza kusambaa mtaani kuwa mange hajulikani alipo na account yake ya insta imedukuliwa na "watu wasiojulikana" hii ni baada ya kuanza kupost matusi na kuandika makorokocho kama mtoto anaeanza darasa la kwanza. Kuna video hapa inagoma ngojeni niiconvertSnitch
Mange ndio nani
 
Mange anawanyima usingizi akina Lemutuz na Bashte baada ya kutoa siri za maovu yao

We unamwamini mange. Kwa lipi. Kwanza ujue Mange anaishi USA. So habari zote. „ANAPEWA NA WATU WA TZ. Au anatunga mwenyewe. „So ukisema eti anatoa siri Afu unaamini. Basi Nenda kamtukane uone utakavyotungiwa Kubwa jinga we
 
acha uongo, soma post yake ya dka 10 zimeisha inahusu zanzibar. usikute unataka tu pay attention tujibu ili tuonekane kuwa sisi ndio huwa tunamfuatilia kwa kusoma post zake unactuchora eheheh utajiju
khaah l!! we nawe hebu muache mtoa mada bhana.....mange ilihakiwa (kwa mujibu wake) yalipostiwa matusi na vitu visivyoeleweka, amefuta baada ya kuamka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom