Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

Status
Not open for further replies.
Duh! Ina maana wameenda kumshughulikia huko huko US!!??
Basi ni hatari kama ni kweli.
 
Marekani kuna CIA kuna FBI na yeye yupo huko its nnot a big issue kwetu watz,atapatikana labda kama CIA na FBI nayo imeingiliwa na DAB au labda Albadiri ndo inafanya kazi...
 
I pray she's seif kwakweli account waibebe tu atafungua nyingine ila kwa alipo sasa ivi bado ni asubuh
 
Acha uongo account ilikua hacked asubuhi but now iko poa anaendelea kupost kama kawaida
 
Account ya mwanaharakati mange kimambi imepotea tena jioni hii na imechukuliwa na watu wasiojulikanaaa
Account inapost matangazo ya fiesta na watu wanaotafutwa jambo ambalo sio la kawaida

Na kingine ni kuwa mange toka asubuhi leo hapatkana watssap

Na kinachotia utata ni kuwa mange hajulikani alipo mpaka sasa
Naona giza mbele ya mange
Yaani hata sielew vile yaani
We unakaa nae mpaka useme hajulikani aliko??
 
Ule upuuzi wa umbea umbea instagram umeanza ku-spill over to JF na Twitter!

Watu hawana cha maana cha kufanya kwenye smartphones zaidi ya kutwa kucha Instagram kumfuatilia na kumjadili Mange na upuuzi unaofanana na huo!

Sad!
 
mange%2Bkimambi546.jpg
 
kama ni kiki ya kutrend insta afunike issue ya zari, huo ni ushamba! naamini kabisa hajadukiliwa! account kama ile serikali na vigogo vinaimezea mate kujua nini kinaendelea ktk DM yake, harafu atokee hacker mbulula wa kushughilika na mambo ya umbea na kuendelea kumuattack jpm na serikali yake. huyo ni yeye tu asituzuge
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom