Huyu Magufuli atakayeshinda kwa 80% ni yupi huyo na ni uchaguzi wa mwaka upi na wa wapi?
Ni uchaguzi wa kule kwa wafu/kuzimu au?
Au atatoka kaburini ili kuja kushinda huku duniani mwaka huu 2025?
Na huyu Bi Tozo a.k.a Chura Kiziwi mtampeleka wapi? Mtamrudisha Kizimkazi Zanzibar kwao?