Akaunti ya Facebook ya Alfred Mutua, Waziri wa Ajira Kenya imejaa post za nafasi za kazi kwa Wakenya nje. Pitia ya Riziwani ujionee

Cha Ajabu huyo alieandika Hapo ni mmojawapo wa kijana ambaye hana Ajira ila ndio wa kwanza kuwakandia vijana wenzake sijui kichwan chake kimejaa funza watupu Sana huyu choice variable ni miongoni wa Chawa asie na Faida Wala kutambulika
Hao wanatetea hadi Mavi
 
Kama kazi huko hazipo_
 
Wanawaza yao tuu hao na kutisha watuu,hayo sio maelekezo ya serikaliii ,
 
Kazi za kubeba box
 
Cha Ajabu huyo alieandika Hapo ni mmojawapo wa kijana ambaye hana Ajira ila ndio wa kwanza kuwakandia vijana wenzake sijui kichwan chake kimejaa funza watupu Sana huyu choice variable ni miongoni wa Chawa asie na Faida Wala kutambulika
Anakera sana huyu kima na mazoba wenzake , Tanzania hii leo hii hata ukiitisha usahili wa kazi za ovyo kama ubeki tatu , utapata maelfu na probably Malaki ya watu na graduates wa vyuo vikuu jobless humo wengi wa kutosha ,tena wamemaliza miaka mingi huko nyuma na ni jobless mpaka leo
Acha kabisa
Mpumbavu anayesema Tanzania kwenye ajira ni bora kuliko Kenya ,huyu hajui anachoongea au anajichomoa akili makusudi
 
Naamini Rizi hana hata wazo la kusaidia vijana kupata ajira...yani wazo tu hana yeye anawaza namna nzuri ya kutumbua mafedha aliyoyapata kwenye nchi hii basi.
 
Maelezo marefu lakini umeandika upuuzi mtupu! Hiyo paragraph ya mwisho ndo tatizo la Tanzania na sio huo upuuzi ulioandika hapo juu kiasi cha kujiona wewe ndo una akili sana! Mfano tu weka tu tangazo kuhusu DV Lottery Program ambayo hulipi hata senti 5 uone watu watakavyoponda. Au na hiyo ni hadi hadi balozi ziwatangazie Watanzania? Btw, ni Mtanzania gani mwenye uwezo wa kuanzisha agency ambae hafahamu kwamba huko Arabuni kuna kazi za aina mbalimbali zikiwemo skilled and non-skilled labors?! Nimetoa mfano mdogo sana; wa well established agencies hata kwa ajili ya wafanyakazi wa ndani TZ! Hilo nalo ni hadi serikali itoe matangazo?
 
Kwani sisi hatuwezi kuwa na Agencies?
Tuanzie hapo sasa- kwani hatuwezi? Jibu ni kwamba tunaweza! Sasa tatizo lipo wapi? Jibu simple: Watanzania tumekuwa wazito sana kuchangamkia fursa hususani za nje! Mfano mzuri fuatilia tu mijadala kuhusu Green Card lotteries halafu angalia ni Watanzania wangapi watachukulia hilo suala positive! Ukienda Dubai na Qatar kwa mfano, kuna Wakenya kibao na wala hawajaenda kwa mgongo wa serikali.
 
Naamini Rizi hana hata wazo la kusaidia vijana kupata ajira...yani wazo tu hana yeye anawaza namna nzuri ya kutumbua mafedha aliyoyapata kwenye nchi hii basi.
pia ana uwezo mdogo sana anatembelea jina la Baba yake
 
serikali ya Kenya ina hadi mikataba na hizo Serikali, je Tanzania wana mikata nao
 
Wakenya wanatafutiwa pia, Ruto mwenyewe anawatafutia, Je Serikali ya Tanzania inawatafutia?
 
Wakenya wanatafutiwa pia, Ruto mwenyewe anawatafutia, Je Serikali ya Tanzania inawatafutia?
Hiyo ya Ruto unayoisema wewe ni kwavile ulimsikia hivi majuzi lakini Wakenya wameanza kwenda huko miaka mingi sana, na ni Mawakala ndio wanawapeleka huko na sio serikali. Lakini kwa upande mwingine, Wakenya individually ni watu wa kutafuta fursa kuliko Watanzania. Kinyume chake Watanzania ujuaji mwingi. Subiri miezi miwili kisha njoo na id nyingine kisha tangaza fursa zilizopo kwenye hizo nchi na iwe kama survey tu kufahamu mentality ya Wabongo!!
 
serikali ya Kenya ina hadi mikataba na hizo Serikali, je Tanzania wana mikata nao
Hiyo mikataba ilianza baada ya serikali ya Kenya kuona kile ambacho huwa kinawakuta hata Watanzania wachache wanaoenda huko; yaani unyanyasaji. Lakini lingine tunalojisahaulisha, Wakenya ni watu wa kutafuta sana fursa nje ya nchi compared na Wa-TZ na wala hawakusubiri serikali. Matokeo yake wamejenga credibility kubwa sana nje ya nchi ukilinganisha na Watanzania na ndo maana hata kama agency ni middle east based, wataenda Kenya ambako tayari wana historia na Kenyans.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…