Akaunti ya Facebook ya Alfred Mutua, Waziri wa Ajira Kenya imejaa post za nafasi za kazi kwa Wakenya nje. Pitia ya Riziwani ujionee

Wakenya wanamteua mtu kwa kuangalia uwezo wake , huku kwetu, undugu,urafiki,kulipa fadhila,Rushwa, na uvivu wa kufanya kz
 
wakenya na wanaijeria wamezagaa duniani kote wakifanya kazi tena sio kazi za kubabaisha. huku kwetu tuendelee kumtukuza mama kwa nyimbo na mapambio
 
Wakenya ni rahisi kuajiriwa sehemu nyingi duniani kwasababu ya ENGLISH.

Kwa kiswahili chetu labda uende Burundi, kwa ulaya utaishia kubebeshwa mabox
Na mwakani mtaala unabadilishwa masomo yote ya sekondari yatafundishwa kiswahili.

Nchi inasikitisha sana hii.
 
Awareness ni ndogo sn kwenye haya mambo mkuu watu wengi hawajui kutwa kujadili Simba na Yanga, Miziki, pool table n.k
 
Kenya wanafanya vizuri sana kuwatafutia wananchi wake kazi mbali mbali nchi za nje.

Rizwan Kikwete fanya mpango tuwaige tu hawa majirani zetu.
 
Awareness ni ndogo sn kwenye haya mambo mkuu watu wengi hawajui kutwa kujadili Simba na Yanga, Miziki, pool table n.k
Nimejisikia uchungu sana hapo nilipo-bold kwa sababu ukweli hicho ndicho tunachojua lakini hatupo serious kabisa kwenye masuala ya msingi. Na siku hizi tumeongezewa na betting ndo basi tena tushakuwa na fikra za "One Day Yes!"
 
Pombe kali, uzinzi, uongo, ushirikina n.k
 
Yuko pale kwa sababu ya jina Kikwete,Waziri wa Ajira ila muulize hizo ajira ana zitafuta vipi ataanza kuelezea mikopo ya Asilimia 10 kwenye Halimashauri zeinde kwa vijana wajiajiri. Ujinga mtupu.
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…