Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejaribu kuomba au unasikia maneno ya watu tu! Kwa zamani ni kweli, yaani ilikuwa mbinde lakini hivi sasa passport unapata ndani ya wiki 2.Kupata passport Bongo, utazungushwa sana, zile njoo kesho zinakuwa nyingi
Ni rahisi zaidi kupiga picha na yesu kuliko kupata passport bongo!!
Na kweli.Ni rahisi zaidi kupiga picha na yesu kuliko kupata passport bongo!!
Na mwakani mtaala unabadilishwa masomo yote ya sekondari yatafundishwa kiswahili.Wakenya ni rahisi kuajiriwa sehemu nyingi duniani kwasababu ya ENGLISH.
Kwa kiswahili chetu labda uende Burundi, kwa ulaya utaishia kubebeshwa mabox
Awareness ni ndogo sn kwenye haya mambo mkuu watu wengi hawajui kutwa kujadili Simba na Yanga, Miziki, pool table n.kTuanzie hapo sasa- kwani hatuwezi? Jibu ni kwamba tunaweza! Sasa tatizo lipo wapi? Jibu simple: Watanzania tumekuwa wazito sana kuchangamkia fursa hususani za nje! Mfano mzuri fuatilia tu mijadala kuhusu Green Card lotteries halafu angalia ni Watanzania wangapi watachukulia hilo suala positive! Ukienda Dubai na Qatar kwa mfano, kuna Wakenya kibao na wala hawajaenda kwa mgongo wa serikali.
Yaani nyumba wanawaongoza Simba kwenye vitaPia cc elimu yetu hajatukomboa kabisa, wajinga ndio wameshika na kuongoza idara muhimu
Huo uwezo anao?Kenya wanafanya vizuri sana kuwatafutia wananchi wake kazi mbali mbali nchi za nje.
Rizwan Kikwete fanya mpango tuwaige tu hawa majirani zetu.
vijana kutwa nza ni Betting na mambo ya Yanga na SimbaAwareness ni ndogo sn kwenye haya mambo mkuu watu wengi hawajui kutwa kujadili Simba na Yanga, Miziki, pool table n.k
Serikali ndiyo inataka iwe na wajinga wengivijana kutwa nza ni Betting na mambo ya Yanga na Simba
Nimejisikia uchungu sana hapo nilipo-bold kwa sababu ukweli hicho ndicho tunachojua lakini hatupo serious kabisa kwenye masuala ya msingi. Na siku hizi tumeongezewa na betting ndo basi tena tushakuwa na fikra za "One Day Yes!"Awareness ni ndogo sn kwenye haya mambo mkuu watu wengi hawajui kutwa kujadili Simba na Yanga, Miziki, pool table n.k
Pombe kali, uzinzi, uongo, ushirikina n.kNimejisikia uchungu sana hapo nilipo-bold kwa sababu ukweli hicho ndicho tunachojua lakini hatupo serious kabisa kwenye masuala ya msingi. Na siku hizi tumeongezewa na betting ndo basi tena tushakuwa na fikra za "One Day Yes!"
🤣🤣🤣Yuko pale kwa sababu ya jina Kikwete,Waziri wa Ajira ila muulize hizo ajira ana zitafuta vipi ataanza kuelezea mikopo ya Asilimia 10 kwenye Halimashauri zeinde kwa vijana wajiajiri. Ujinga mtupu.