Hii nchi tunakwama pakubwa mno, tunakwama sana kama Taifa.
View attachment 3179810
Alfred Mutua acclunt yake, angakia tu profile photo.
View attachment 3179811
Account hio ya Riziwani Kikwete angalia Profile Photo yake, ina zungumza yenyewe.
Alfred Mutua Waziri wa maswala ya ajira wa Kenya kwenye account yake kumejaa matangazo ya nafasi za kazi kwa vijana kama vile za Ujenzi, uendeshaji Bodaboda na kadhalika nje ya nchi hasa Mataifa ya Kiarabu.
View attachment 3179814
Namuona Waziri mwenyewe ndio anawapambania pasport na Visa kabisa vijana wanao elekea huko.
View attachment 3179815
Njoo sasa kwenye account ya Riziwani Kikwete Waziri wa Maswala ya ajira Tanzania. account yake hakuna mahala hata post ya kuzungumzia ajira achilia mbali kiwatafutia vijana furusa iwe ni ndani au nje ya nchi.
View attachment 3179816
Account imejaa post za uchawa mwanzo mwisho.
View attachment 3179818
AJira za kupeana hizi, tunakwama sana kama nchi na Mungu atufungue tuone tunavyo kwama kama Taifa.
Huwezi msikia Waziri ana adress swala la tatizo la ajira kwa vijana na wala hana Idea ni kitu gani kifanyike.