BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
-
- #21
We mjinga export ya labour iko Dunia nzima, shida mnawaza kichwa hakuna kitu kingine mnajua huko kwenye vichwa vyenu,Akianza kuposti mtaanza kulalamika kwanini hakuna kazi Tanzania, Mbongo hakosi kitu cha kukosoa
Hao GenZ wa Kenya waliandamana na madai yao moja wapo lilikuwa ni ukosefu wa Ajira, sasa hapa Bongo hawa Vijana hawataki hata kuandamana na kushinikiza Serikali wengi wanaandamana kwa ajilli ya ushindi wa Simba/Yanga na mambo mengine ya kipuuzi.Sio kuzamia tu, angalia Waziri wao wanavyo pigana kupata kazi nje, kuna nafasi za kazi hadi Ujerumani wamepewa Wakenya, sasa njoi Tanzania, waziri hakuna anachi jua zaidi ya Uchawa.
Yupo.Ni wewe nami ntafuata.na hakuna anaye hoji kuanzia Viongozi hadi raia wenyewe kimya, vijana wako busy na Simba na Yanga
Na roho mbaya piaNi kubebana mwanzo mwisho,
Na hakuna anaye jaliUsiombe ukapata shida ukaenda ubalozi wa Tanzania ukiwa nje ya Nchi utajuta .. 😀
Kupata passport Bongo, utazungushwa sana, zile njoo kesho zinakuwa nyingiKenya pasport ni kama kitambulisho huku Bongo, ni kawaida kukuta machinga Kenya ana passport,
Wametuzidi au wametuacha kwa miaka 17 so Na pia ELIMU ya hawo jamaa Iko mbali ss viongoz wetu Bado na wenye ELIMU ni yakusomea private unavujishiwa mitihani so shida tupuHii nchi tunakwama pakubwa mno, tunakwama sana kama Taifa.
View attachment 3179810
Alfred Mutua acclunt yake, angakia tu profile photo.
View attachment 3179811
Account hio ya Riziwani Kikwete angalia Profile Photo yake, ina zungumza yenyewe.
Alfred Mutua Waziri wa maswala ya ajira wa Kenya kwenye account yake kumejaa matangazo ya nafasi za kazi kwa vijana kama vile za Ujenzi, uendeshaji Bodaboda na kadhalika nje ya nchi hasa Mataifa ya Kiarabu.
View attachment 3179814
Namuona Waziri mwenyewe ndio anawapambania pasport na Visa kabisa vijana wanao elekea huko.
View attachment 3179815
Njoo sasa kwenye account ya Riziwani Kikwete Waziri wa Maswala ya ajira Tanzania. account yake hakuna mahala hata post ya kuzungumzia ajira achilia mbali kiwatafutia vijana furusa iwe ni ndani au nje ya nchi.
View attachment 3179816
Account imejaa post za uchawa mwanzo mwisho.
View attachment 3179818
AJira za kupeana hizi, tunakwama sana kama nchi na Mungu atufungue tuone tunavyo kwama kama Taifa.
Huwezi msikia Waziri ana adress swala la tatizo la ajira kwa vijana na wala hana Idea ni kitu gani kifanyike.
Inaumiza sana..na hakuna anaye hoji kuanzia Viongozi hadi raia wenyewe kimya, vijana wako busy na Simba na Yanga