EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Nimejisikia aibu sana kuna mtanzania, wakenya wana akili kuliko watz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana nazungumza na mtu ambaye hujawai kuzunguka Nchi za ulaya, Asia hicho nachozungumza Nina uhakika nacho balozi polepole alianza kutafutia watu fursa huko Cuba wanaanza kumuundia zengwe blah blah kibaoUna uhakika? Nikuoneshe post za mabalozi wakionesha fursa za masoko, biashara na elimu?
Acha uongo wewe nyumbu hakuna kitu unajuaInawezekana nazungumza na mtu ambaye hujawai kuzunguka Nchi za ulaya, Asia hicho nachozungumza Nina uhakika nacho balozi polepole alianza kutafutia watu fursa huko Cuba wanaanza kumuundia zengwe blah blah kibao
Tukubali tu kuwa wakenya kwenye mambo ya fursa wapo mbele Sana.
Ridhiwan rafiki yangu simlaumu sana maana ni mgeni katika wizara hii au wakati mwingine mambo hufanyika kwa kuangalia Rais aliepo anatakaje
Hao wanaoenda Nchi za ulaya na sehemu mbalimbali za Africa ipo siku watarudi na kuendeleza ujuzi katika nchi zao.
Ukiwa Qatar, Doha au maeneo mbalimbali ya viwanja vya ndege katika nchi zilipo katika UAE unakutana na wakenya wengi sanaaa.
Nje ya mada: Tanzania ni nchi ya amani kama inavyonadiwa Kila siku Ina mahusiamo mazuri na nchi nyingi hapa duniani diplomasia yake imara lakini kenya imeshatupiga bao Sana wao wanaoenda VISA inayoisha miaka 5 ikiwa wataenda marekani sisi pale embassy USA visa ni ya mwaka Mmoja ilikua ni ya miezi ila Sasa ni Mwaka.
Wakenya wanasambaa duniani Sana katika fursa
Ukiona WA bongo wapo nje ya nchi aslimian98% wamepambana wao kama wao kufika hapo kuanzia Passport, VISA n.k
Usishangas siku Moja fursa zikitokea Amsterdam waziri wao akawapa shavu
Mutua yuko anafanya biashara halafu kuna Watanganyika wanampigia makofi na kumsifia🐼View attachment 3179979
Haya mambo katika siasa yapo huwezi kufuraiwa na Kila mtu hajjalishi unafanya nini .Kinachoongelewa hapa ni kusiifia ukurasa wa Waziri Mutua kujaa post ya fursa za kazi, wakati huko Kenya inapondwa...hizo fursa za Ujerumani ni suala la muda ukweli utajulikana, mpaka sasa tetesi zinazunguka ni siasa za Ruto na hakuna la maana...Wanasiasa wa Kenya wapo vizuri kwenye optics ukifuatilia mambo kwa juu juu utasema wanafanya mambo ya maana ila ni upuuzi ule ule wangekuwa hapa Tanzania ambapo majority ya Raia hawana uwezo wakutumia akili ingekuwa ni rahisi sana....kwa jinsi unavyokaza kichwa kumtetea Mutua na Ruto unazidi kuonyesha usahihi wa kauli ya Jomoe Kenyata aliyemuambia Nyerere kuwa anaongoza maiti lakini yeye anaongoza binadamu waliolala.
View attachment 3179976
Ahah umeshakula lakini? Nisije kuandika hapa kumbe naandikia mtu mwenye njaa na msongo wa mawazo aise na Kazi jikite katika Mada. Acha uchawa usio na FaidaAcha uongo wewe nyumbu hakuna kitu unajua
Hawana ubunifu wowote kabisa, kimsingi tunaongozwa na watu wajinga snUkiwasikiliza viongozi wa Tanzania unaweza kutapika,Mambo wanayoongea aisee km ni redioni nazima redio na km tv pia nazima Yani ni aibi
Nchi imejaa wajinga tupu, hakuna ubunifu wowote zaidi ya kutegemea misaada na mikopo kutoka njeAhah umeshakula lakini? Nisije kuandika hapa kumbe naandikia mtu mwenye njaa na msongo wa mawazo aise na Kazi jikite katika Mada. Acha uchawa usio na Faida
Nikutakie usiku mwema.
Imejaa mipasho tupu hakuna la maanaPia pitia Facebook ya spika wa Bunge uone
Anasema "I hate death"Imejaa mipasho tupu hakuna la maana
Lugha hata siyo tatizo kwani huko Uarabuni wanatumia kiingereza? tatizo ni connection hatuna mkuuWakenya ni rahisi kuajiriwa sehemu nyingi duniani kwasababu ya ENGLISH.
Kwa kiswahili chetu labda kazi uende Burundi
Mtu mjinga kama huyo atafanya nini? kafika pale juu kwa rushwa na ushirikinaAnasema "I hate death"
Wakenya ni rahisi kuajiriwa sehemu nyingi duniani kwasababu ya ENGLISH.
Kwa kiswahili chetu labda kazi uende Burundi