Akaunti ya Facebook ya Alfred Mutua, Waziri wa Ajira Kenya imejaa post za nafasi za kazi kwa Wakenya nje. Pitia ya Riziwani ujionee

Una uhakika? Nikuoneshe post za mabalozi wakionesha fursa za masoko, biashara na elimu?
Inawezekana nazungumza na mtu ambaye hujawai kuzunguka Nchi za ulaya, Asia hicho nachozungumza Nina uhakika nacho balozi polepole alianza kutafutia watu fursa huko Cuba wanaanza kumuundia zengwe blah blah kibao

Tukubali tu kuwa wakenya kwenye mambo ya fursa wapo mbele Sana.

Ridhiwan rafiki yangu simlaumu sana maana ni mgeni katika wizara hii au wakati mwingine mambo hufanyika kwa kuangalia Rais aliepo anatakaje

Hao wanaoenda Nchi za ulaya na sehemu mbalimbali za Africa ipo siku watarudi na kuendeleza ujuzi katika nchi zao.

Ukiwa Qatar, Doha au maeneo mbalimbali ya viwanja vya ndege katika nchi zilipo katika UAE unakutana na wakenya wengi sanaaa.

Nje ya mada: Tanzania ni nchi ya amani kama inavyonadiwa Kila siku Ina mahusiamo mazuri na nchi nyingi hapa duniani diplomasia yake imara lakini kenya imeshatupiga bao Sana wao wanaoenda VISA inayoisha miaka 5 ikiwa wataenda marekani sisi pale embassy USA visa ni ya mwaka Mmoja ilikua ni ya miezi ila Sasa ni Mwaka.

Wakenya wanasambaa duniani Sana katika fursa

Ukiona WA bongo wapo nje ya nchi aslimian98% wamepambana wao kama wao kufika hapo kuanzia Passport, VISA n.k

Usishangas siku Moja fursa zikitokea Amsterdam waziri wao akawapa shavu
 
Acha uongo wewe nyumbu hakuna kitu unajua
 
Haya mambo katika siasa yapo huwezi kufuraiwa na Kila mtu hajjalishi unafanya nini .

Bora huyo Alfred mutua angeenda Tanzania akawe Waziri awasaidie vijana katika kutafuta fursa nje .. maana watalata pesa kuliko kukaa ndani kuwaambiwa wakalime

Asietaka asiende..

Alikuepo Kikwete alifanya maangapi mazuri ila hakusemwa?, Mkapa? , magufuli? Hayo ni mambo ya kawaida TU huwezi kukubalika Kila sehemu hata wanaofatilia biblia wanajua hayo ya YESU akupendwa na Kila mtu


Bora anaewatafuta vijana Ajira kuliko anaeshinda ofisini na maeneo ya Bata anakula.pesa ovyo asie na mpango wowote la kuwatafufia Ajira .
 
Ahah umeshakula lakini? Nisije kuandika hapa kumbe naandikia mtu mwenye njaa na msongo wa mawazo aise na Kazi jikite katika Mada. Acha uchawa usio na Faida

Nikutakie usiku mwema.
Nchi imejaa wajinga tupu, hakuna ubunifu wowote zaidi ya kutegemea misaada na mikopo kutoka nje
 
Your browser is not able to display this video.


Mkenya akitoa ushuhuda wake kapata Kazi Saudia Arabia

 
Wakenya ni rahisi kuajiriwa sehemu nyingi duniani kwasababu ya ENGLISH.

Kwa kiswahili chetu labda kazi uende Burundi

Unataka kusema Viongozi wanashindwa kuwatafufia watu Ajira sababu ya watanzania hawajui English?

Ukichoandika Kina mtazamo tofauti kwa Kila msomaji
 
Nyie watanzania kiingereza hamjui mnabidi kubaki hapa Tz mfatilie habari za simba na yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…