Akaunti ya Facebook ya Alfred Mutua, Waziri wa Ajira Kenya imejaa post za nafasi za kazi kwa Wakenya nje. Pitia ya Riziwani ujionee

Wakenya ni rahisi kuajiriwa sehemu nyingi duniani kwasababu ya ENGLISH.

Kwa kiswahili chetu labda kazi uende Burundi
Watanzania wapo Poland na KINGEREZA hawajui Wanapiga kazi, wanangu wengine walikua Ukraine(kabla ya vita) na English hawajui. Ulaya ukilitoa nchi chache zinazo zungumza KINGEREZA nchi zilizo Baki hawajui English, English yao imejaa ubabaifu kama bongo tu. Ulaya kama unaenda Kwa kazi za nguvu sio lazima uwe na KINGEREZA kiingii cha kuombea maji tu kinatosha.
 
N wajinga humu wanatetea ujinga
Viongozi wanapaswa wawe mfano na waoneshe kwa vitendo juhudi zao kama huyo mkenya. Wengi humu huwa tunamsifu sana Dkt. Gwajima D kwa sababu ya response yake hadi mitandaoni ambayo inasaidia sana kuwafikia wananchi na kusikiliza na kutatua changamoto zao.
 
x
Bahamas wanaenda fanya kazi, sisi tuendelee na mijadala ya Mbowe na Lisu kutwa nzima humu, tunakwa mno
Kabla hatujamlaumu Riz1, je wewe mwenyewe unayo angalau agency ya kutoa vijana wasio na kazi sehemu moja kwenda nyingine hata ndani ya TZ kwa kazi kama vile shamba boy, housemaids, kuuza maduka, bars n.k?! Nimekuuliza kwa sababu kazi nyingi za aina hiyo Kenya sio kwamba zinatafutwa na serikali bali na agencies na ndo maana kuna Wakenya wengi sana Arabuni kabla ya huyo Mutua!
 
Kwani sisi hatuwezi kuwa na Agencies?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…