Akaunti ya Facebook ya Alfred Mutua, Waziri wa Ajira Kenya imejaa post za nafasi za kazi kwa Wakenya nje. Pitia ya Riziwani ujionee

 
Lewis254 njoo huku dakika ya 54, mtanzania anajifunga goli la kichwa.

Dk ya 56 sasa, Nyinyi KUNYA LAND 3 - sisi DANGANYIKA (TANZAGIZA) 1
 
Wakenya na waganda wanapenda kazi za nje mnoo. Nilikutana nao burji Khalifa Dubai, mapokezi
 

Unaonekana una uwezo mdogo wa kufikiri, Tanzania tuna balozi ngapi zipo Tanzania hapa za Nchi nyingi? Waziri anashindwa kwenda kuuliza huko kwenu Kuna fursa gani japo vijana kadhaa waende wakapate Kazi ? kupunguza wimbi la vijana wasio na Ajira kama Nchi imeshindwa kutengeneza mazingira mazuri ya kuwapa Ajira walio na vigezo Kuna ubaya gani wakaenda huko nje ili wawekeze Tanzania.. Tena hakuna kitu kizuri kama serikalini ikawa ndio imekudhamini sababu sio rahisi kudhulumiwa maslahi Yako

Sasa mnataka vijana wabaki mtaani wanabanana mnafurahia mnappita Kazi zenye uhitaji watu 500 wanakuja watu 9000 kwenye usaili.

Ubinafsi Roho za Chuki kuwa na vigezo wasio na Upeo Viongozi wenye uwezo mdogo kabisa tunasikitika Sana wanasiasa wenye uwezo mdogo ndio wanapewa dhamana ya kuongoza Raia

Tuna balozi nyingi hapa Germany, finland, U.K , UAE wao wameshindwa vipi? Kuna balozi wapo mtandaoni kuandika sijui "quotes" waonekane wanabusara ujinga mtupu .
.
Tukiwa Nje ya Nchi unakutana na wakenya na nchi zingine unajiuliza Tanzania Tatizo nini?

Mtasingizia Lugha huo ni Uongo nimetembea Nchi nyingi Lugha ya kiingereza ni baadhi ya maeneo tu wengi wao Lugha hawajui Sana maana inafundishika na Kuna maeneo mengine wanatumia wengi wao waliopo hapo Poland, German , Luxembourg, Switzerland, n.k English siyo lugha ya kwanza Kuzungumza

Kaa fikiria angalia viongozi wenye hiyo dhamana wanauwezo kweli? Wao furaha yao kukaa kwenye hizo gari kula posho kununua magoli na kusuburia uchaguzi ufike waende wakagalegali kwenye mchanga kuomba Kura vijana ambao ni 23-35 wengi hawana Ajira wengi wao wanaamua kujiajiri katika bet na kushabikia simba na yanga kufanya parade

Vijana nawashauri pia muwe mnamoyo wa kusaka fursa Nje zenye ujuzi na zisizo na ujuzi vijana kadhaa nimekutana nao Netherlands, Germany, Poland USA lakini sio wengi kama wenzetu.. tumieni mitandao vizuri
 
Wewe mtu anapewa nafasi Kwa sababu ni mtoto wa rais na siyo uwezo wake utegemee ubunifu?
 
View attachment 3179827
Bahamas wanaenda fanya kazi, sisi tuendelee na mijadala ya Mbowe na Lisu kutwa nzima humu, tunakwa mno
sisi hatufikia huko kwasababu ili tufikie huko lazima tumalize mijadala ya kina LISu na wezake

Kenya walishajadili mpaka wakauwana na kushitakiwa wengine the Hague tafadhari tusirike stage ...usione vya elea jua vimeundwa
 
Wewe mpumbavu as if Tanzania inajitosheleza kwa ajira ,Kenge wewe
Kwamba Tanzania ndio hamna mass unemployment ?
 
Hao watu elfu moja wanaoajiriwa ni asilimia ngapi ya idadi ya wahitimu wanaokuja mitaani kama Jobless graduates kila mwaka ?
Takataka kabisa wewe
 
Wakenya na waganda wanapenda kazi za nje mnoo. Nilikutana nao burji Khalifa Dubai, mapokezi
Sio wanapenda wana qualifications za kufanya hizo kazi.Vikwazo vikubwa vya watanzania kupata kazi Nje ya Nchi ni kutojua kwa ufasaha kiingereza, kukosa exposure ya kutafuta kazi kwa walio afadhali kwenye kiingereza. Kukosa hati za kusafiria.Uhaba wa kampuni za ku recruit waombaji.Chache zilizopo hazina uweledi na wengi waliojaribu kuzitumia wanatapeliwa au kutafutiwa kazi za ndani kwenye Nchi za kiarabu. Hapo ni wanawake tu ndio wanapata hizo ajira.
 
Waarabu na wazenji hawatofautiani tabia kwenye ubaguzi. Yet mtu anatoka bongo anaenda kufanya ubeki 3 gulf countries😁 ni vichekesho sana.

Hapa bongo kama hunipeleki Nordic Countries au Canada bado hujanitoa humu. Siwezi kwenda kufanya kazi na watu wenye roho za kimasikini.
 
Mimi simlaumu huyo Waziri huko, kitu ambacho naamini na nina uhakika nacho ni kwamba “Watanzania sio Watu wa Kuwapigania” alisikika jamaa mmoja kwenye daladala la Gongo la Mboto.
 
Wewe mpumbavu as if Tanzania inajitosheleza kwa ajira ,Kenge wewe
Kwamba Tanzania ndio hamna mass unemployment ?
Cha Ajabu huyo alieandika Hapo ni mmojawapo wa kijana ambaye hana Ajira ila ndio wa kwanza kuwakandia vijana wenzake sijui kichwan chake kimejaa funza watupu Sana huyu choice variable ni miongoni wa Chawa asie na Faida Wala kutambulika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…