Problem ya hii logic ni kwamba umeamua kuchanganya ujasiri na kuwa na akili au kuwa na akili ya ukifanyacho na kuwa na kuwa na akili kwa ukituacho kufanya kazi.Kuwa na kili ktk kazi unayofanya hakukufanyi kuwa mtaalamu wa kila kifaa unachotumia. Km vile unataka sema kila mwenye gari lazima awe fundi wa kiwango cha juu, au kila rubani basi ajue kutengeneza kila kitu ktk ndege?Anajifanya ana akili, mbinu na ujanja wakati kumbe ni mweupe tu mbele ya wanaojua majukumu / kazi zao walizozibobea kisawasawa.
taarifa atazipata tu maana hata hao wanaomtumia wanatumia fake IDs. kuhusu followers siyo issue atakaefungua page yake atamfollow kama anatakaOf coz atafungua nyingine,ila kumbuka alikuwa na followers million na ushee,pia wanaomtumia taarifa wataogopa maana kumbe anaweza kuhackiwa.
wew ni obsesed fun unamchukia uku unamfollow account imekuwa deactivated few minutes ushajua pole sanaHer instagram page imekuwa washed out rasmi.
Ndomaana tumekubaliana na Iran kupambana Na ugaidi,Mange page yake imefutwa kiufundi,alitumiwa simu akajuwa zawadi kumbe mtego.
hivi akisema kazifuta mwenyewe na akarudisha zile zile utajisikiaje victwaThis time harudi na akirudi arudi kwa device nyingine,akitumia ile iphone 8 alopewa zawadi ni kazi bure.Nimeamini Mange hana akili ya kufikiria kabisa.
Imekula kwao kivipi mkuu? Nao wataokotwa ufukweni wakiwa katika sandarusi?Ndio lazma wajulikane.... inshort imekula kwao pia why walimuamini kwa kiasi kubwa yule swine.....
kweli ile iPhone it's either hajaijulia kuitumia vizuri au c salama ila Yule ni akili kubwa wanasubiri kalala ndo wanamuotea wameshajaribu sana kumuhuck wakashindwa uzuri huwa hadeal na maIT anadeal na macontroler wa IG ngoja ashtuke usingizini kama hajairudisha
Anazungumza tu huyo naona alikuwa hampendi mange maana hata simu anatuambia Nokia 8 badala ya iphone. I tell u atarud maana akaunti insta wanaweza mrudishiaLAKINI MBONA ALISEMA ALIENDA KUBADLISHA RANGI KUAVOID HABARI HII??? yaani kama alikua tu anajishaua uwezo wa kubadili hana... hahahhahahahah famba sana
sasa kwani si anafungua nyingine tu? hahaha panya ukimzuia hapa anatoboa tundu lingine anaendea kwingine
Yule c mwenzako usimuone na udaku wakehana level hizo .....hahahahhaa
We Dada unajiekti unajua mambo ya kimafia kumbe mavi kunuka tuAlishaliwa ' denge ' Kimafia siku nyingi sana ila Yeye kaja ' Kushtukia ' mchezo ndani ya wiki mbili hizi wakati imekuwa ' its too late '. Na hiyo si dalili njema Kwake kwani anything can happen at anytime. Sijawahi kuonaa ni wapi ' Mafia ' wakiungana na ' System ' kukutafuta wakakukosa. Na waliotumika kummaliza ni hao hao Watu anaodhani ni ' Marafiki ' zake kumbe ndiyo ' Nyoka ' wakubwa Kwake. Moja ya Kanuni ' Kuu ' ya Kimafia na Kijasusi popote pale duniani mbele ya potential target ' yao ni ama kumtumia Rafiki yake wa karibu sana au Ndugu yake ( mwana Familia wake ) katika kulifanikisha wanalolitaka na huwa hawakukosi katika hayo mawili hata ufanyeje. Na nina uhakika kuna Watu wengi sana ' yatawakuta ' makubwa siku zote ukiwa katika ' Mapambano ' makali ukitaka kulishinda Kundi fulani basi Kwanza anza na yule the ' Strongest ' wao kisha kuwamaliza hawa wengine inakuwa ni kama tu ' Kuteremka ' na Gari Mlima Kitonga bila kuliwasha na linatiririka na kuserereka lenyewe tu hadi chini.
Wajiandae na nini? Kutekwa na kuuwawa? Umemsikiliza Wassira?Alikuwa na followers milion karibia mbili,ni pigo sana kwake,tulimpenda ila Iphone 8 imempenda zaidi.Wale wa hide my name mjiandae.Astagallafullah.
Of coz atafungua nyingine,ila kumbuka alikuwa na followers million na ushee,pia wanaomtumia taarifa wataogopa maana kumbe anaweza kuhackiwa.
Kwa logic yako ambayo hata vitoto vya keny haviipendi.Duh, unalia kama uko msibani vile.
Mkuu umefanya nianze kukuogopa yaonekana wewe ni mtu asiyejulikanaAnajifanya ana akili, mbinu na ujanja wakati kumbe ni mweupe tu mbele ya wanaojua majukumu / kazi zao walizozibobea kisawasawa.