Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Tatizo hapa ni hili. Atafungua ingine na within a daya itakuwa na wafuasi wengi zaidi.Na pengine sasa ata hire experts wa kumshauri, na itakuwa ngumu zaidi . mkiendelea fanya sana atareport instagram kuwa mnafuta accounts za watu.Wataanza ban watu wa serikali taratibu.Mishowe watabaki wengine waki enjoya issue za mange bila break.
Hapa kama wame-itwaa basi watapata watu wengi wanaomtumiga ubuyu na matango PORI. Maana wakati mwingine wajiuliza haya anayapata wapi hasa?
 
Hahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha nachinja ngo'ombe kama ni kweli mb..wa yule
 
Amanii eh wakuu account ya mange kimambi haipo tena insta... Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimae na mchana huu account yake haipo tena instagram sijui dada wa watu atakuwa kapatwa na nini, uthibitisho huu chini

View attachment 610509
Kaifunga mwenyewe!
Anaanza kulisikia joto huko huko states godamn it!!
 
!
!
Kweli haipo japo muda mfupi uliopita nilikuwa huko ukurasani mwake. Kwa jinsi mtoa Mada ulivyoitoa hii post kwa uharaka, nahisi kuna kitu cha zaidi unakifahamu kuhusu tukio hili na wewe ni kama mwenezi wa plot hiyo.
 
Sikuwahi kukuweka kwenye orodha ya wachawi hapa JF lakini leo umethibitisha umecolifie.

Kwa taarifa yako kutoka anapoishi Mange na ofisi za Instagram zilipo ni kama kutoka Mwenge kwenda Posta na issue kama hizi mamtoni ni kama wewe unavyokwenda kwenye tigo shop kuripoti matatizo ya simu yako.

Hili ukae ukilijuwa vizuri kabisa na ujiandae kisaikolojia maana punde atakaporudi hewani kama una mimba changa isije ikapuruchuka kwa ugonjwa wa Mangephobia.
😀
 
Amanii eh wakuu account ya mange kimambi haipo tena insta... Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimae na mchana huu account yake haipo tena instagram sijui dada wa watu atakuwa kapatwa na nini, uthibitisho huu chini

View attachment 610509
she's just chilling out kuwarusha watu roho. that's my girl..a smart one at that!
 
Ni kweli ile account yake maarufu imepigwa chini ili nimesearch ana accounts nyingine nyingi na follower kibao so soon atarudi kuendeleza mapambano dhidi ya Sizonje na maliyamungu[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Yes. Inaweza kuwa kweli maana ameanza kubadili namba za simu za whatups. Lakini kufunga na kufungua account kwenye mitandao ya kijamii ni raisi mno. watu wana account zaidi ya moja leo anafungua hii kesho ile. the old is gone the new is come.
Concept ya followers unaifahamu mkuu??....assume ulikuwa na followers million kumi then account yako ikafutwa,unafikiri ukifungua account mpya ni rahisi kuwapata tena hao followers million kumi??!
 
Jomon mbona unataka kulia usilie bana ndo maisha hayo. Followers atapata ila sio million kama zari na dai
Shida naona sasa mnakataa ukweli kwa vile dkk chache mmeshaanza kuona kazi bure mliofanya. mange akipost link hapa ya profile mpya dkk chache sana followers watakuwa wamekuja hewani.
 
Kuna watu wanatumia nn sijui kufikiria aafu unaweza kuta n mtu wa idara y usalama.. Ig aliesema wameifunga nanii....??. Tumie akili basi msiwe kama kondoo
 
nilikuwa siamini....leo nimeamini....account yake imekwenda na maji.

my be kaamua kui-deactivate kwa mda...maana hilo nalo linawezekana.

Wape moyo Wajinga na Wapumbavu ila hapo tayari mission has been accomplished na najua umeshajua what next. Yeye alijua watakaomfuatilia watakuwa ' Waafrika ' wenzie wakati wenye ' akili ' zao wamempandikizia ' Marafiki ' kibao tena Wazungu na ndiyo wanamaliza Kazi taratibu. Hii ni ya Kwanza na soon watakamilisha ya pili kisha ' tutaheshimiana ' hapa mjini. Ukimya wa yule unayemsumbua, kumuonea na kumdhalilisha huwa unakuwa na majibu yenye ' Kishindo ' Kikali sana na huwezi amini.

Kwa jinsi ninavyokujua najua fika umeshajua what happened na what next juu yake ila humu unawazuga tu Watu wajue upo nao katika ' masikitiko ' kumbe unawasanifu tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom