Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
ku
Kwahiyo umeambiwa kuwa GENTAMYCINE ndiyo Israeli Mtoa Roho? Mkuu hebu nitake radhi upesi sana kabla ' Mashetani ' yangu na ' Mizimu ' yangu haijanipanda halafu ' pakachafuka ' humu sasa hivi sawa?
mbe na wewe ni wasiojulikana kama muro hahaha
 
upload_2017-10-16_14-43-24.png
upload_2017-10-16_14-43-24.png
 
Huyo baadae anarudi mtaniambia cz sio mara yake ya kwanza kupotea hivyo

Na hata ' waliomtaimu ' nao wanataka arudi ili sasa wamalize ' Kazi ' kabisa. Hata katika Mafunzo ya ' Kimedani ' unapotaka kupambana na ' adui ' mahiri na mjanja mjanja yakupasa unapoanza kupanga ' mikakati ' ya kumkabili uandae kama aina Tatu za ' mbinu mashambulizi ' na lazima zote ziwe ' Kabambe / Hatari ' ila zenye kuleta matokea chanya na yenye mafanikio Kwako. Hapo kilichofanyika ni ' Kumshtua ' tu ili waone atarudije hatimaye sasa tuseme mengine na tusonge mbele kuiletea maendeleo Tanzania yetu na Afrika ya Mashariki nzima. Tahadhari zote za kama je kama akirudi itakuwaje zimeshachuliwa na sasa ' Wataalam ' akina Mafia na System wamekaa tu wanamsikilizia ' ajipendekeze '.
 
walichofanya hapo ni kudenied follower wa tanzania kuaccess account yake basi nadhan kweny iyo iphne mpya ajatumia vpn anayotumiaga ndioo maaan
 
Hiyo account ni GOOD RIDDANCE!!
Acha wazungu wenyewe wamnyooshe kwanza. Hata huko kuna makosa ya kimtandao na interpol ipo sana!
Kumbe The beginning of the end!!
 
Labda amekublock weweeee sisii tunampata vizuri,check my screenshot eastafrican time
2:43pm
 

Attachments

  • Screenshot_2017-10-16-14-43-05.png
    Screenshot_2017-10-16-14-43-05.png
    34.3 KB · Views: 75
Huu ni ujinga sana. watu wanafurahi kwa account ya mtandao kufungwa wanafurahi kweli kweli. Lakini huyo mwenye account yupo ni sawa sawa na kufurahi kukamata mkia wa nyoka wakati kichwa chake haukioni. Shame!!
 
Mange page yake imefutwa kiufundi,alitumiwa simu akajuwa zawadi kumbe mtego.
sasa si anatafungua tu account nyingine au nayo watafuta.na akiamua si anaweza kuwa na account hata 100 au haiwezekani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom