Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Wape moyo Wajinga na Wapumbavu ila hapo tayari mission has been accomplished na najua umeshajua what next. Yeye alijua watakaomfuatilia watakuwa ' Waafrika ' wenzie wakati wenye ' akili ' zao wamempandikizia ' Marafiki ' kibao tena Wazungu na ndiyo wanamaliza Kazi taratibu. Hii ni ya Kwanza na soon watakamilisha ya pili kisha ' tutaheshimiana ' hapa mjini. Ukimya wa yule unayemsumbua, kumuonea na kumdhalilisha huwa unakuwa na majibu yenye ' Kishindo ' Kikali sana na huwezi amini.

Kwa jinsi ninavyokujua najua fika umeshajua what happened na what next juu yake ila humu unawazuga tu Watu wajue upo nao katika ' masikitiko ' kumbe unawasanifu tu.

Dume zima hovyooooo bonge la aibu , Mange nyoko nyoko unabana hadi pia ,kwendraaaaaaaa hamumuwezi Mange hata mkeshe makaburini
 
Hahahahahahaaah mtoa post acha uongo kuna account kibao zinaitwa kwa jina la mangekimambi na akaunti ipo hewan kama kawa na followers ni wale wale yawezekana wewe umechek hzo account nyingne, na post ya mwisho ni ya last 1 hr
 
Sikuwahi kukuweka kwenye orodha ya wachawi hapa JF lakini leo umethibitisha umecolifie.

Kwa taarifa yako kutoka anapoishi Mange na ofisi za Instagram zilipo ni kama kutoka Mwenge kwenda Posta na issue kama hizi mamtoni ni kama wewe unavyokwenda kwenye tigo shop kuripoti matatizo ya simu yako.

Hili ukae ukilijuwa vizuri kabisa na ujiandae kisaikolojia maana punde atakaporudi hewani kama una mimba changa isije ikapuruchuka kwa ugonjwa wa Mangephobia.
mmh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sema usemavyo na semeni mtakavyo ila 40 zake zimeshakaribia / ameshajaa katika 18 na ndipo mtajua siku zote ' Kolabo ' za Kimafia na System hazijawahi kushindwa lolote / chochote na kumuacha Mtu salama duniani kote. Ogopa sana pale ambapo unajitutumua kumshambulia na kumtusi Mtu kwa nguvu zako zote halafu Yeye kanyamaza tu ' Kishindo ' chake baada ya hapo huwa ni ' Kikali ' na ' deadly ' too.
Kwa maana hiyo unataka kusema serikali inashirikiana na mafia?!
Dhidi ya RAIA zakr?!
 
Wape moyo Wajinga na Wapumbavu ila hapo tayari mission has been accomplished na najua umeshajua what next. Yeye alijua watakaomfuatilia watakuwa ' Waafrika ' wenzie wakati wenye ' akili ' zao wamempandikizia ' Marafiki ' kibao tena Wazungu na ndiyo wanamaliza Kazi taratibu. Hii ni ya Kwanza na soon watakamilisha ya pili kisha ' tutaheshimiana ' hapa mjini. Ukimya wa yule unayemsumbua, kumuonea na kumdhalilisha huwa unakuwa na majibu yenye ' Kishindo ' Kikali sana na huwezi amini.

Kwa jinsi ninavyokujua najua fika umeshajua what happened na what next juu yake ila humu unawazuga tu Watu wajue upo nao katika ' masikitiko ' kumbe unawasanifu tu.
sawa bhana...
 
Mbona yupo full hewani?

au ndio imeshakuwa Mali ya watu wasiojulikana!
 
Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.
Ipo acha kuweweseka dada
 
Du kwahiyo simu mpya ndo imeleta mambo? Lakini mbona kama alisema alii change
 
Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.
hii sred nayo isije kuwa mtego ili watu watoe comments mbaya watafutwe, wacha mimi nikae kimya.
 
TIME WILL TELL,PICHA NDIO LIMEANZA !!

Yeye alidhani ' Wanamume ' wamenyamaza tu hakuna kinachoendelea. Sasa ameingia ' patamu ' sana na soon tutapumzika na ' upuuzi ' wake ambao kwa kiasi kikubwa sana umesaidia kuharibu ' maadili ' ya Kizazi kikubwa cha hivi karibuni na kuichafua ' taswira ' ya nchi ' abroad '.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom