Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Mbona mie account naiona?

367dfe4e5e31a473b06dc29e0585037b.jpg
 
Inanikumbusha story ya mchunga kondoo na chui. Soon arobain yake itafika
 
Hahahaha. Tutakoma na huyu mange mwaka huu.
 
watu walivyo na hasira watamfollow kwa hasira zote.hizo mil 2 zitajitriple

Alikuwa na followers milion karibia mbili,ni pigo sana kwake,tulimpenda ila Iphone 8 imempenda zaidi.Wale wa hide my name mjiandae.Astagallafullah.[/QUOTE
 
Amanii eh wakuu account ya mange kimambi haipo tena insta... Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimae na mchana huu account yake haipo tena instagram sijui dada wa watu atakuwa kapatwa na nini, uthibitisho huu chini

View attachment 610509


Kwa hiyo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom