omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,206
- 17,683
Unataka kunambia baada ya kubadili simu ndio amepatwa na madhila yote haya.?iPhone 8,Bwana ila nasikia karudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kunambia baada ya kubadili simu ndio amepatwa na madhila yote haya.?iPhone 8,Bwana ila nasikia karudi
Usipende kudanganywa kirahisi,
Mange alivyopewa ile simu aliipeleke apple store wakampa ya rangi nyingine.
Hapo wewe ccm makondaktako na mange nani ana akili?
Hapa unakuja kushangilia eti mange katumiwa simu? Usidhani kama mange ni kiazi kama mlivyo nyinyi.
Soon atacome back.
Na funny enough mange haachagi history kwenye DM yake.
kumbe hana uwezo hata wakununua device nyingine duh .device gharama sanaThis time harudi na akirudi arudi kwa device nyingine,akitumia ile iphone 8 alopewa zawadi ni kazi bure.Nimeamini Mange hana akili ya kufikiria kabisa.
Acha ujinga wewe, hakuna mtu serious wa Taasisi ile nyeti anazurura mitandaoni kutisha watu hivi, you are nothing , just a merely dog looking for the bones, acha kutisha watu wazima wenzio kishamba.Sema usemavyo na semeni mtakavyo ila 40 zake zimeshakaribia / ameshajaa katika 18 na ndipo mtajua siku zote ' Kolabo ' za Kimafia na System hazijawahi kushindwa lolote / chochote na kumuacha Mtu salama duniani kote. Ogopa sana pale ambapo unajitutumua kumshambulia na kumtusi Mtu kwa nguvu zako zote halafu Yeye kanyamaza tu ' Kishindo ' chake baada ya hapo huwa ni ' Kikali ' na ' deadly ' too.
Ha ha ha, kwenda zako huko.Kwa logic yako ambayo hata vitoto vya keny haviipendi.
Tatizo unajifanya unajuaWape moyo Wajinga na Wapumbavu ila hapo tayari mission has been accomplished na najua umeshajua what next. Yeye alijua watakaomfuatilia watakuwa ' Waafrika ' wenzie wakati wenye ' akili ' zao wamempandikizia ' Marafiki ' kibao tena Wazungu na ndiyo wanamaliza Kazi taratibu. Hii ni ya Kwanza na soon watakamilisha ya pili kisha ' tutaheshimiana ' hapa mjini. Ukimya wa yule unayemsumbua, kumuonea na kumdhalilisha huwa unakuwa na majibu yenye ' Kishindo ' Kikali sana na huwezi amini.
Kwa jinsi ninavyokujua najua fika umeshajua what happened na what next juu yake ila humu unawazuga tu Watu wajue upo nao katika ' masikitiko ' kumbe unawasanifu tu.
ATAKUFA?Mimi nampenda sana Mange,tatizo ukikomenti right kabisa ila sivyo anavyotaka yeye anakublock.Kuna habari za ukweli na za uongo pia huwa anapost.Ila mwisho wake umefika.
Umefika vipi? Kwakuwa anamchukia mtu tunayempenda na kumtukana rais wetu matusi ndio tuutake mwisho wake?Mimi nampenda sana Mange,tatizo ukikomenti right kabisa ila sivyo anavyotaka yeye anakublock.Kuna habari za ukweli na za uongo pia huwa anapost.Ila mwisho wake umefika.
Mkuu huyu jamaa nimemjibu!!! Ana kadegree ka St hivi vyuo vya hovya cha uandishi wa habari anajidai najua wakati ni BOGUS!!!aka MORONMe napendaga tu vile unaandika kwa kujiamini na kujifanya unajua mengi kumbe ni NGUMBARU kabisa
Zte hizo bosheni hakuna ya ukweliMimi nikiingia insta nakutana na account zake zaidi ya tano!![emoji116]
Imerudi sahiviMbona ipo hewani, nimeona kuna post ya 2 hrs ago. Wana JF tuwe watu wa kutafuta fact kwanza.
Lilikuwa jambo dogo la kucheck Instagram kuprove. Watu walivyokuwa wanatiririka [emoji23][emoji23][emoji23].