Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Kuna mijitu ipo humu inazungumza utadhani inajua kitu wakati kichwani wamekaa wakina bashite Mia...
Acheni upuuzi wanaojua wametulia wanaangalia kwa dharau sana!
 
Kina nani mkuu waliobobea? Jinga kweli wewe!! Umesoma uandishi wa habari IT wewe ni kilaza so shut up!!!!!!!

Kazi imeshamalizwa mapema sana na akijipendekeza tu kurudi ndiyo ' Wanamume ' wanamaliza kabisa shughuli. Mwambieni kwa sasa ' auchune ' kwani upepo wa bahari umekuwa ni mkali kama ule wa Kusi.
 
Jipe moyo na endelea ' Kujidanganya ' hivyo hivyo na ' Kuwadanganya ' wale ' Mapopoma ' wa Masuala ya Kimafia na System ila kwa wenye ' akili ' tayari tumeshaanza kunusa ' danger ' hapo na nimesema kama hata Yeye ni ' mjanja ' kwa sasa ' auchune ' kwani ' upepo ' si mzuri Kwake sasa. Ushauri wangu ni huo tu tafadhali.
Wewe n ngumbaru tu
 
I don't think kama kuna mtu anaweza kufuta account ya mtu mwingine technique ni kuhack afu unaenda kwny remove/delete account
 
Mimi nampenda sana Mange,tatizo ukikomenti right kabisa ila sivyo anavyotaka yeye anakublock.Kuna habari za ukweli na za uongo pia huwa anapost.Ila mwisho wake umefika.
mwisho wapi wewe yupo hewani halafu acc za insta mimi kwenye simu yangu ninazo 6
 
Amanii eh wakuu account ya mange kimambi haipo tena insta... Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimae na mchana huu account yake haipo tena instagram sijui dada wa watu atakuwa kapatwa na nini, uthibitisho huu chini

View attachment 610509
aibu yako, Mange yupo hewani kama kawaida, ingia sasa uone
 
Bashite kahusika asilimia ngapi hapa, maana nasikiaga anaweza sana mambo ya kijasusi na ugaidi.
 
hajifanyi mkuu yule ana akili nyingi kufunga account yake sio kufunga kinywa chake wala upeo wake mkuu.over

Kuna wenye ' akili ' nyingi, mbinu na mikakati ya kuwashinda Mafia na System Mkuu? Hivi lakini unakijua unachokiongea au na Wewe upo humu ' Kupayuka / Kuzoza ' tu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom