kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Me napendaga tu vile unaandika kwa kujiamini na kujifanya unajua mengi kumbe ni NGUMBARU kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Me napendaga tu vile unaandika kwa kujiamini na kujifanya unajua mengi kumbe ni NGUMBARU kabisa
Wale waliokuwa wanamtumia information si watajulikama kama mtego ni simu?
Kina nani mkuu waliobobea? Jinga kweli wewe!! Umesoma uandishi wa habari IT wewe ni kilaza so shut up!!!!!!!
Wewe n ngumbaru tuJipe moyo na endelea ' Kujidanganya ' hivyo hivyo na ' Kuwadanganya ' wale ' Mapopoma ' wa Masuala ya Kimafia na System ila kwa wenye ' akili ' tayari tumeshaanza kunusa ' danger ' hapo na nimesema kama hata Yeye ni ' mjanja ' kwa sasa ' auchune ' kwani ' upepo ' si mzuri Kwake sasa. Ushauri wangu ni huo tu tafadhali.
Bullshit, u know nothing, just shut the **** up... Mafia my foot, fuckin pandejo
Wewe unazo?Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.
mwisho wapi wewe yupo hewani halafu acc za insta mimi kwenye simu yangu ninazo 6Mimi nampenda sana Mange,tatizo ukikomenti right kabisa ila sivyo anavyotaka yeye anakublock.Kuna habari za ukweli na za uongo pia huwa anapost.Ila mwisho wake umefika.
aibu yako, Mange yupo hewani kama kawaida, ingia sasa uoneAmanii eh wakuu account ya mange kimambi haipo tena insta... Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimae na mchana huu account yake haipo tena instagram sijui dada wa watu atakuwa kapatwa na nini, uthibitisho huu chini
View attachment 610509
Account yake ipoooooooWewe n ngumbaru tu
hajifanyi mkuu yule ana akili nyingi kufunga account yake sio kufunga kinywa chake wala upeo wake mkuu.over
Tokaaaa hapaaa na uchuro wakoo.Maswali ya ' Kichooni Chooni ' huwa siyapendi / siyafagilii tafadhali sawa?
Du!, imetulia Sana, chezea serikali weweMange page yake imefutwa kiufundi,alitumiwa simu akajuwa zawadi kumbe mtego.