GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa maana hiyo unataka kusema serikali inashirikiana na mafia?!
Dhidi ya RAIA zakr?!
Maswali ya ' Kichooni Chooni ' huwa siyapendi / siyafagilii tafadhali sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana hiyo unataka kusema serikali inashirikiana na mafia?!
Dhidi ya RAIA zakr?!
mimi sio mshabiki wa matusi.. ila huyo nae anjiona anajua kila kitu.. humu kuna watu wanaposti upuuzi ila sio wa mchezo kiuhalisia..hana cha kusemaTatizo unajifanya unajua
Ya TL cjuh yalishia wap
Tuliaaa mbwembwe nyingi kama upoo jikoni loooh!;!Na hata ' waliomtaimu ' nao wanataka arudi ili sasa wamalize ' Kazi ' kabisa. Hata katika Mafunzo ya ' Kimedani ' unapotaka kupambana na ' adui ' mahiri na mjanja mjanja yakupasa unapoanza kupanga ' mikakati ' ya kumkabili uandae kama aina Tatu za ' mbinu mashambulizi ' na lazima zote ziwe ' Kabambe / Hatari ' ila zenye kuleta matokea chanya na yenye mafanikio Kwako. Hapo kilichofanyika ni ' Kumshtua ' tu ili waone atarudije hatimaye sasa tuseme mengine na tusonge mbele kuiletea maendeleo Tanzania yetu na Afrika ya Mashariki nzima. Tahadhari zote za kama je kama akirudi itakuwaje zimeshachuliwa na sasa ' Wataalam ' akina Mafia na System wamekaa tu wanamsikilizia ' ajipendekeze '.
Hahaha nakaangaliaga tu maana huwa sichangii humu sana. Huwa kanaandika kwa kushindilia wino utafikiri kana uhakika na kanajua kanachoandikaMkuu huyu jamaa nimemjibu!!! Ana kadegree ka St hivi vyuo vya hovya cha uandishi wa habari anajidai najua wakati ni BOGUS!!!aka MORON
Tafuta hela wewe.Huyu wammalize kabisa hafai
Mimi nampenda sana Mange,tatizo ukikomenti right kabisa ila sivyo anavyotaka yeye anakublock.Kuna habari za ukweli na za uongo pia huwa anapost.Ila mwisho wake umefika.
Nilikuwa naangalia muda wa baadhi post huku nacheck na insta, wengi walikuwa wana comment too emotional bila fact mkuu.Imerudi sahivi
System ipi unayozungumzia wewe ikashughulike na Mange Kimambi mtukana matusi? Labda 'system charge'ha ha ha ha ha ha system bwana wameisha m fix hawa jamaa hawashindwagi jambo
Mange siyo mzima na shida nahisi maisha yanamvuruga alikuwa na mbwembwe Sana wakati yuko na mzungu na zile biashara zake za nguo,Sasa hivi ndoa hana biashara hana lazima awaonee wivu wakina ZariNimekuwa nafikiri labda kuna tatizo upstairs, sijui lkn kwani kuna wakati aliamua kumvua nguo mzazi mwenzie na mwisho wa siku ikawa hata yeye alijidhalilisha kabisa bila sababu yoyote ya msingi, kisa HASIRA.
sawa bhana...
Mange page yake imefutwa kiufundi,alitumiwa simu akajuwa zawadi kumbe mtego.
point yako ni nini labda coz wew mwenyew unamchungulia every seconds? hahahaha obsesed fun[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mnadhani ndo mtasababisha watu wasiotumie fact walizonazo?Hajarudi hapo imerudi ili nyie wa hide my ID mkamatike vizuri.Mjue zile milioni sita sita zikikusanywa zitasaidia sana kwenye maendeleo.
Yuko hewani mkuu.Ataibuka tena tu, wiki haitakwisha atakuwa hewani tena.