Obuma
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,727
- 5,096
Mbona nakuona unahangaika sana dada? Tulia atathibitisha tu usijali.Mwambieni aingie ista live kama kweli ni yeye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nakuona unahangaika sana dada? Tulia atathibitisha tu usijali.Mwambieni aingie ista live kama kweli ni yeye.
tumeshatoa akaunti imerudi. una lingine?Chadema bado hawajatoa tamko.?
Tatizo unajifanya unajua
Ya TL cjuh yalishia wap
Kukubaliana nawewe inahitaji staha,btw staha mi sina so i argue.overKuna wenye ' akili ' nyingi, mbinu na mikakati ya kuwashinda Mafia na System Mkuu? Hivi lakini unakijua unachokiongea au na Wewe upo humu ' Kupayuka / Kuzoza ' tu?
Ni kweli,zote hizo nimefungua nimekuta eti ana followers chini ya laki moja!!....ya kweli mbona mimi siipati mkuu?...ya kweli ni ipi???Zte hizo bosheni hakuna ya ukweli
Tusubiri siku MK akiingia pale JK Nyerere..Nahisi atapokewa kwa shangwe, bila kusahau kalandinga! Pamoja na yote mie naona aingie rasmi chama pinzani, watampa ulaji wa Mbunge wa kuteuliwa, si kidogo aise...Yaani wamempata kirahisiii,wangemkosa hapo wangemtumia mzungu wakampa ma hela akamtongoza basi anapatikana very simple.
Serikali gani mkuu??? Hihii niijuayo mm au??? Mmeshindwa kutengezeza tooth pick ndo mtaweza mambo ya IT???Du!, imetulia Sana, chezea serikali wewe
Ile akaunti haiko mikononi mwa Mange usijidanganye....tumeshatoa akaunti imerudi. una lingine?
Tuliaaa mbwembwe nyingi kama upoo jikoni loooh!;!
Nani kakuambia ?Mange hamiliki tena hiyo account,imerudi ili wale wa please hide my ID mkamatwe vizuri.
sikuona, mie huingia kwa mange pale ninapokuwa nimemaliza pilika zangu nasoma na kutizama kisha nayaacha humo humo, subiri sasa hivi si ndio wanaamka, atakuja insta liveJuzi mbona aliingia ?na bado soon anatumiwa mzungu,si anapenda wazungu wenye hela ?
Naona kitumbua kinakuwasha mchana mkuu....Mwambieni aingie ista live kama kweli ni yeye.
Zote hizo nimezifungua ni fake kwani zina followers chini ya laki moja!!...mbona mimi sipati account yake halisi??....account yake halisi ni ipi???Bado yupo hizo ni propaganda tu ngoja aendelee kuwasumbua
gentamycine, mbona una maneno makali hivi, akikutukana we achana nae, fanya yako, wanaweweseka kuona mange karudi hewaniNipo ' Gesti ' namchapa nao Dadako hapa huku natiririka na naserereka humu Jamvini kwa raha zangu hasa baada ya long mission kuwa accomplished professionally kabisa.
Tunasubili tamko la Padre Slaa na Josephine.Chadema bado hawajatoa tamko.?