Akaunti za benki za Kanisa la Askofu Gwajima zadaiwa kufungwa

Akaunti za benki za Kanisa la Askofu Gwajima zadaiwa kufungwa

Nilisha andika katika hili ,Jasus la mbinguni lazima alishakua mbele ya mda , mtu ana makanisa mpaka nje kwamba ajue analianzisha alafu aache fedha kizembe, mpaka anafika kuliamsha lazima alisha kaa na maaskofu wake na kua na plan B ,so zitakua na pesa kidogo
Hapo sawa maana hao WATEKAJI wamekula "VIMA" ,hawajali chochote ,kama wamemuua CHAULA katoto ambacho hakajui chochote kalijiropokea tu kwamba MAISHA mAGUMU wakapita NACHO sembuse MZEE WA KULIAMSHA DUDE?
 
Nilisha andika katika hili ,Jasus la mbinguni lazima alishakua mbele ya mda , mtu ana makanisa mpaka nje kwamba ajue analianzisha alafu aache fedha kizembe, mpaka anafika kuliamsha lazima alisha kaa na maaskofu wake na kua na plan B ,so zitakua na pesa kidogo
Hata kama, transaction kubwa lazima zipate kibali cha BOT na Financial Intelligence Unit ambao ni watu wa kitengo, na lazima watamfahamisha sponsor wao, na kwa kipindi hiki cha uchaguzi, watampa contextual meaning
 
Ngoja tuonyeshane makali (in dokta Shika's voice)
Tako sana wewe uonyeshane makali na watu ambao hawana hata rungu huku wewe ukitumia mitutu ya bunduki, unajisikiaje unapo furahia watanganyika wenzako kunyanyaswa ndani ya nchi yao halafu waarabu wa oman wana enjoy
 
Hata kama, transaction kubwa lazima zipate kibali cha BOT na Financial Intelligence Unit ambao ni watu wa kitengo, na lazima watamfahamisha sponsor wao, na kwa kipindi hiki cha uchaguzi, watampa contextual meaning
Hujui dunia .
 
Kama wakafunga account za Bank. Huko mbeleni hawawezi kuja kufungua mashitaka dhidi ya serikali ?
 
Utaelewa baadae unaongea mambo mawili tofauti. Mfano wako ni wa hovyo ila.utaelewa baadae sio sasa hivi.
Hasara kwa jamhuri ya Tanzania hasa Tanganyika
Ndio utajua hujui, government proceedings act hairuhusu kukamata mali ya serikali katika execution of a decree
 
Ndio utajua hujui, government proceedings act hairuhusu kukamata mali ya serikali katika execution of a decree
Sawa sawa zitakamatwa tu kama zile ndege kule kanada sijui unawaza kwa kutumia nini. Akaut za mbowe nk zilifungwa zikafunguliwa sijui unatumia akili zipi
 
SI muandamane mnamwambia nani SASA mumezoea lisu KUWA semea NYIE HAMNA miguu HAMNA mikono
 
Sawa sawa zitakamatwa tu kama zile ndege kule kanada sijui unawaza kwa kutumia nini. Akaut za mbowe nk zilifungwa zikafunguliwa sijui unatumia akili zipi
Hiyo ya ndege ilikuwa mkataba wa kimataifa, sasa Gwajima kutapeli waumini na kuchukua hela zao ni mkataba upi?
 
Lissu kiherehere chake, hakuna aliyemtuma amsemee
HAYA waandamane MANA humu mtandaoni watapewa pole TU na STORI za KUPUSH masaa JE watoto watakula Nini action I take place. Mambo MENGNE MBELE kwa mbele
 
Atanyooka tu! Mpaka ataomba pooh! Chezea serikali wew!

Who are you?
 
Back
Top Bottom