matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
SI nasikia huko uswisi na visiwa vya bahama Kuna account mtu yoyote DUNIANI akifungua anatupia tu mipunga bila bugha yeyote, askofu hakuwa na plan b ya kiuchumi. Hajui KUWA fedha is spiritual?
Unaweza kuta hivi ndio mnajiongelesha huko kijijini kwenu tena kwa kuaminia kabisaAna kiwanda Marekani, hana shida na hizi pesa za madafu.
Siku zitafunguliwa tuHakika kuna jambo Gwajima alikuwa analipanga. Alikuwa anajikosha kujifanya nini sijui, kipindi cha uchaguzi dola inakuwa makini kwa asilimia 1000,000, kama unataka kufadhili magenge ya uhalifu utajulikana tu
View attachment 3411065
SahihiTaasisi ikifutwa kila kitu chake kinajifuta automatically 😂😂
Una the faintest idea ya liquidation process?Taasisi ikifutwa kila kitu chake kinajifuta automatically 😂😂
Kesi ya kihistoria ambayo dola imetumia mabavu kuonyesha uwezo wake.Nani alipe fidia? Kamuulize Vallambia aliyekuwa mzabuni wa mahitaji ya kivita wakati wa vita ya Kagera, ana hukumu za Mahakama zote, ila hana malipo yoyote. Hukumu ya Mahakama inatakiwa iandikiwe barua kwa Msajili wa Hazina ili aone kama kuna hela Hazina kazi ndio alipe, lini hela zilikosa kazi?
UTakua hujui maana huna akili kwa kweljHiyo ya ndege ilikuwa mkataba wa kimataifa, sasa Gwajima kutapeli waumini na kuchukua hela zao ni mkataba upi?
Sasabilioni 20 angeziweka chumbaniKama Gwajima alidiriki kuacha fedha kwenye accounts kabla hajafichua watekaji basi hakutumia ujasusi wake vizuri ,hao watu ukiwachokoza lazima wapige block accounts.
Mali na pesa anazimiliki nani?Taasisi ikifutwa kila kitu chake kinajifuta automatically 😂😂
Inaonekana kukemea utekaji ni kosa kubwa sana kwenye nchi hii.Ngoja tuonyeshane makali (in dokta Shika's voice)
Mkuu tafadhari naomba kisa hiki cha mzabuni wa mahitaji ya kivita. Naomba kama kuna uzi pia.Nani alipe fidia? Kamuulize Vallambia aliyekuwa mzabuni wa mahitaji ya kivita wakati wa vita ya Kagera, ana hukumu za Mahakama zote, ila hana malipo yoyote. Hukumu ya Mahakama inatakiwa iandikiwe barua kwa Msajili wa Hazina ili aone kama kuna hela Hazina kazi ndio alipe, lini hela zilikosa kazi?
za bengiHeeee, akaunti za bengi au za wasapu?
Kum@ la mamako ,***** wewe .We mbwa huwa kila mada unayoanzisha ni ya kichoko tu , wasted sperm kabisa wewe .Ni bora baba yako angepiga puchu bafuni kuliko kuleta mbegu chafu kama wewe , ni taahira gani ambaye anaweza shangilia mambo ya kishenzi yanayofanywa na serikali ya ya maharamia CCM hii ? , mbwa kabisa weweAnataka kuzitumia kufanya majeshi yaasi na kuvuruga uchaguzi