King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Hapo sawa maana hao WATEKAJI wamekula "VIMA" ,hawajali chochote ,kama wamemuua CHAULA katoto ambacho hakajui chochote kalijiropokea tu kwamba MAISHA mAGUMU wakapita NACHO sembuse MZEE WA KULIAMSHA DUDE?Nilisha andika katika hili ,Jasus la mbinguni lazima alishakua mbele ya mda , mtu ana makanisa mpaka nje kwamba ajue analianzisha alafu aache fedha kizembe, mpaka anafika kuliamsha lazima alisha kaa na maaskofu wake na kua na plan B ,so zitakua na pesa kidogo
Hata kama, transaction kubwa lazima zipate kibali cha BOT na Financial Intelligence Unit ambao ni watu wa kitengo, na lazima watamfahamisha sponsor wao, na kwa kipindi hiki cha uchaguzi, watampa contextual meaningNilisha andika katika hili ,Jasus la mbinguni lazima alishakua mbele ya mda , mtu ana makanisa mpaka nje kwamba ajue analianzisha alafu aache fedha kizembe, mpaka anafika kuliamsha lazima alisha kaa na maaskofu wake na kua na plan B ,so zitakua na pesa kidogo
Tako sana wewe uonyeshane makali na watu ambao hawana hata rungu huku wewe ukitumia mitutu ya bunduki, unajisikiaje unapo furahia watanganyika wenzako kunyanyaswa ndani ya nchi yao halafu waarabu wa oman wana enjoyNgoja tuonyeshane makali (in dokta Shika's voice)
Hujui dunia .Hata kama, transaction kubwa lazima zipate kibali cha BOT na Financial Intelligence Unit ambao ni watu wa kitengo, na lazima watamfahamisha sponsor wao, na kwa kipindi hiki cha uchaguzi, watampa contextual meaning
Ndio utajua hujui, government proceedings act hairuhusu kukamata mali ya serikali katika execution of a decreeUtaelewa baadae unaongea mambo mawili tofauti. Mfano wako ni wa hovyo ila.utaelewa baadae sio sasa hivi.
Hasara kwa jamhuri ya Tanzania hasa Tanganyika
Sawa sawa zitakamatwa tu kama zile ndege kule kanada sijui unawaza kwa kutumia nini. Akaut za mbowe nk zilifungwa zikafunguliwa sijui unatumia akili zipiNdio utajua hujui, government proceedings act hairuhusu kukamata mali ya serikali katika execution of a decree
Hiyo ya ndege ilikuwa mkataba wa kimataifa, sasa Gwajima kutapeli waumini na kuchukua hela zao ni mkataba upi?Sawa sawa zitakamatwa tu kama zile ndege kule kanada sijui unawaza kwa kutumia nini. Akaut za mbowe nk zilifungwa zikafunguliwa sijui unatumia akili zipi
Una uhakika kawatapeli..? Shida ya chawa huwa hamna akiliHiyo ya ndege ilikuwa mkataba wa kimataifa, sasa Gwajima kutapeli waumini na kuchukua hela zao ni mkataba upi?
HAYA waandamane MANA humu mtandaoni watapewa pole TU na STORI za KUPUSH masaa JE watoto watakula Nini action I take place. Mambo MENGNE MBELE kwa mbeleLissu kiherehere chake, hakuna aliyemtuma amsemee
Kuna uchaguzi wapi Mafi weweAnataka kuzitumia kufanya majeshi yaasi na kuvuruga uchaguzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bengiHeeee, akaunti za bengi au za wasapu?
Nimeandika, nikafuta. Ngoja ninyamaze!Mwanamapinduzi arudi akaloe furu ukara