Akaunti za benki za Kanisa la Askofu Gwajima zadaiwa kufungwa

SI nasikia huko uswisi na visiwa vya bahama Kuna account mtu yoyote DUNIANI akifungua anatupia tu mipunga bila bugha yeyote, askofu hakuwa na plan b ya kiuchumi. Hajui KUWA fedha is spiritual?
 
Wamefunga ili iwaje sasa?kwambwa alikuwa na acc moja
na vp hizo benk zinapata faida au hasara kwa yeye kufungiwa huduma?!
 
Taasisi ikifutwa kila kitu chake kinajifuta automatically 😂😂
Sahihi
Bank huhitaji kitu kinaitwa Kisheria Garnshee order ya Mahakama ndio wafunge
Itakuwa ndio sababu pamoja na kufuta kanisa Garnishee order ilichelewa kutoka mahakamani

Msajili wa vyama pia aombe Garnishee order mahakamani kwenye akaunti za Chadema kwenye kesi inayoendelea ya mali

Ila akaunti ikifungwa ruksa hela kuingia au ku deposit sio kutoa
 
Kesi ya kihistoria ambayo dola imetumia mabavu kuonyesha uwezo wake.
Watanzania wanalo la kujifunza kupitia kesi hii ya kihistoria.
 
Kesi ya kihistoria ambayo dola imetumia mabavu kuonyesha uwezo wake.
Watanzania wanalo la kujifunza kupitia kesi hii ya kihistoria.
Naam, Tanzania kwanza
 
Mkuu tafadhari naomba kisa hiki cha mzabuni wa mahitaji ya kivita. Naomba kama kuna uzi pia.
 
Anataka kuzitumia kufanya majeshi yaasi na kuvuruga uchaguzi
Kum@ la mamako ,***** wewe .We mbwa huwa kila mada unayoanzisha ni ya kichoko tu , wasted sperm kabisa wewe .Ni bora baba yako angepiga puchu bafuni kuliko kuleta mbegu chafu kama wewe , ni taahira gani ambaye anaweza shangilia mambo ya kishenzi yanayofanywa na serikali ya ya maharamia CCM hii ? , mbwa kabisa wewe
 
Mungu Aachilie Mapigo ya Kufundisha Adabu
Watu wapate haki yao ya Kuabudu
Inakuaje mtu kusema ukweli wamefunga makanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…