Akaunti za benki za Kanisa la Askofu Gwajima zadaiwa kufungwa

Hii ina confirm ule msemo, "KWA MUOGA KULIENDA KICHEKO, KWA SHUJAA KULIENDA KILIO"! Na bado. Mimi binafsi nataka kuwaona hao Maaskofu na wachungaji na wake zao na watoto wao wakilia mbele ya kamera ndio nami nitaomba wasamehewe!
 
Mnduku wako
 
hii issue zaidi ya kuipeleka kwa Mungu pia husisheni na jumuiya za kimataifa. watafunga kanisa, na account ila hawatamfunga Yesu ambaye ndiye mwenye kanisa.
 
hizo ni pesa za sadaka za waumini waliosambaa nchi nzima, wamefunga, zitabaki kama zilivyo, Mungu atafanya njia, hii issue itaisha. nawashauri tu waliozishikilia, wajue ufufuo na uzima wamebaki na kumbukumbu zake,wakizila ipo siku hata miaka ipite, watazitapika.
 
Kichaa pekee ndo anayeweza kufurahia Aya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…