Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 887
- 664
Hakuna anayeweza kutoa ushauri huu kwa sababu ambao wangemshauri wanafaidika na mfumo, wamejizima data wala hawaoni Mambo yanaenda ndivyo siyo, hawaoni majirani zetu wanavyopata taabu kurudisha treni kwenye reli, yakiacha yafike kwa Nchi yetu kuuzima moto itatughalimu jasho na damu.
Hivi nini mnang'ang"ania kulidhika ni bora. Maisha yenyewe mafupi mnajikusanyia kama vile hamtakufa huku mkiwaacha wajane na mayatima wakilala njaa mnadhani Mungu hawaoni. ?
Hivi nini mnang'ang"ania kulidhika ni bora. Maisha yenyewe mafupi mnajikusanyia kama vile hamtakufa huku mkiwaacha wajane na mayatima wakilala njaa mnadhani Mungu hawaoni. ?